fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,550
- 914
sisi wenye akili timamu mbona hatukuguswa na kifo chake ,wewe nani hadi utusemee sisi wenye akili timamu?Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
sisi wenye akili timamu mbona hatukuguswa na kifo chake ,wewe nani hadi utusemee sisi wenye akili timamu?Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Unajua ameingiaje bungeni? Kwa nini asiubusu mti uliompa matunda!?Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Ukiwa unajinyea hadharani na huku ukiwa unaumizwa na kifo Cha uliyemtaja utaonekana una akili timamu?Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Hata mwendawazimu hujiona mzima akikutana na timamu.sisi wenye akili timamu mbona hatukuguswa na kifo chake ,wewe nani hadi utusemee sisi wenye akili timamu?
usitake kujumuisha watu kwa kujiwekea mfano wewe...kama wewe uliguswa na kifo chake basi jisemee wewe na si kujumuisha wote....Hata mwendawazimu hujiona mzima akikutana na timamu.
usitake kujumuisha watu kwa kujiwekea mfano wewe...kama wewe uliguswa na kifo chake basi jisemee wewe na si kujumuisha wote....
Tuma salamu kwa watu watano usisahau na wimbo wa kusindikiza mchana wao.Tuma salamu kwa watu watano usisahau na wimbo wa kusindikiza mchana wao.
Salamu zangu za furaha ziende kwa ndugu na jamaa popote walipo ndani na nje ya nchi kwa furaha hii naomba na wimbo wa NIMEUONA MKONO WAKE BWANA ulioimbwa na zabron singers uwaburudishe wote ktk kipindi hiki cha furahaTuma salamu kwa watu watano usisahau na wimbo wa kusindikiza mchana wao.
Povu la nini sasa. Hiyo ni picha tu na baba alikuwa na mahaba na kila mtu. Unachokonolewa niniPumbavu zako uliyeweka picha. JPM avae rough hivyo? Kadanganye wapuuzi wenzako huko.
Hapa ni jukwaa la siasa au umepotea njia?Siku hizi Jukwaa la siasa limekuwa na hoja za kijingajingaaa kama hii iliyowekwa hapa.
Bro unapenda sana kuchokonolewa siyo? Acha hizo mambo utaharibu NDUNYE..!!Povu la nini sasa. Hiyo ni picha tu na baba alikuwa na mahaba na kila mtu. Unachokonolewa nini
Tuliza matakoBro unapenda sana kuchokonolewa siyo? Acha hizo mambo utaharibu NDUNYE..!!