Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Huwa nawaona pale MIREMBEVichaa lazima wampende kichaa mwenzao
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huwa nawaona pale MIREMBEVichaa lazima wampende kichaa mwenzao
Mimi pia ninaweza kumbusu mtu anaeniwezesha kulipa madeni ya mikopo yangu.
Walikuwa ni past tense!Basi wengi walikua punguani
Akili hizi za buku 7 ...kudhulumu wengine kwa mgongo wa maendeleo ni upuuzi ...Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Hebu tuonyeshe hiyo posture nyingine ya huyo Bi DadaHiyo picha siyo ya Halima Mdee
Hiyo picha ilitrend sana Whatsapp kipindi cha Msiba, mhusika wa hiyo picha aliweza kuonyeshwa akiwa kwenye posture nyingine
Usiwapangie watu namna ya kuguswa.Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Je, unazijua tabia za Akiba ( Binafsi ) kabisa za huyu anayebusiwa nae hasa kwa Watu wa Jinsia ya akina Halima Mdee?Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
shujaaa???????Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
We mwenye akili timamu kaishi mbinguni..Vichaa lazima wampende kichaa mwenzao
Huyu sio Halima.Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960

huwezi amini ndo wanapigana spana ungewakuta pale..... Dodoma Itafute uiwekeapa tukuaminiHiyo picha siyo ya Halima Mdee
Hiyo picha ilitrend sana Whatsapp kipindi cha Msiba, mhusika wa hiyo picha aliweza kuonyeshwa akiwa kwenye posture nyingine
Wataalam wa IT tunajua hii picha ni edited.Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Kweli nimeamini Pesa/Hela/Mtonyo/Mshiko inaweza kubadilisha kila kituHalima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Kwa mtu mpenda maendeleo ya Tanzania na mpinzani wa kweli, huwezi kutoka enzi JPM! Hata Samia amejifunza the hard way kwa speech ya jana. Kuna watu wawili ambao hadi sasa hata vizazi vijavyo hawatawasahau ni Nyerere na JPM. Halima naona si mpinzani uchwara kama Lissu ila anapinga kwa nia ya kupigania maendeleo ya kweli ya nchi iitwayo Tanzania.Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Kwenye taifa la watu milioni 60 kupata punguani milioni 2 kutoka ufipa si ajabuBasi wengi walikua punguani
Alikuwa mtu wakeHalima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana