sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Tatizo lenu mashabiki maandazi wa chadema mkipewa lolote hamna hata akili ya kufanya proof checking.Tupe uzoefu wako mgeuze tuthibitishe sio yeye 😃
Tatizo lenu mashabiki maandazi wa chadema mkipewa lolote hamna hata akili ya kufanya proof checking.Tupe uzoefu wako mgeuze tuthibitishe sio yeye 😃
kwaiyo wewe ni sawa na mzee mdeeMimi pia ninaweza kumbusu mtu anaeniwezesha kulipa madeni ya mikopo yangu.
Tatizo lenu mashabiki maandazi wa chadema mkipewa lolote hamna hata akili ya kufanya proof checking.
😂😂😂kwaiyo wewe ni sawa na mzee mdee
Itakuwa vizuri kama Mwendazake atatoka katika (step out of the picture) hiyo picha na kumuuliza,"Enhe,Halima,unasemaje?"Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Au ndio wewe mzee Baba😂
Bob Marley!Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Kamlipie madeni ni yake kwanza!Nichumu basi
Utamchukia Mzee Halima bure tu kwa hadithi za kutungiwa! Changanya na za kwako mkuu!Mr. Halima Mdee amejua kunifundisha kumchukia
Maigizo tu
The opposite is trueMtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Pumbavu zako uliyeweka picha. JPM avae rough hivyo? Kadanganye wapuuzi wenzako huko.