Hii picha leo imeenea mitandaoni na maoni tofauti....

Hii picha leo imeenea mitandaoni na maoni tofauti....

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
14449994_10154171275589051_1930830843646529988_n.jpg
 
Rangi ya pikipiki hiyo imefanana na mavazi ya abiria...
 
Hawatarudi pamoja haswa pale dereva atakapokalishwa.
 
mnashindwa kuelewa maana ya mleta uzi! hapo nkama yanga amepakatwa ndo mana anakwambia ime hit mitandaon! kweli?
 
wamevaa tu hao huyo dereva ni shabiki wa AZAM na abiria ni shabiki wa NDANDA Fc....
 
Hawatarudi pamoja haswa pale dereva atakapokalishwa.


Hao wakirudi pamoja basi ni marafiki wa kweli, maana kuna hatari mtu akamwacha mwenzie atembee kwa miguu mpaka Ubungo.
 
mwisho wa mchezo dereva ataanza kuleta hasira
 
Naanza kuchinja kichwa nitachuna ngoz baadae
Yanga fc 1-0 simba sc
Mashabik wa simba wanang'oa vit nw
 
Hapo abiria sijui kama atakumbuka kama alikuja na usafiri!
 
Kadri muda unavyokwenda ndio picha inaongea zaidi.
 
Utani wa jadi.. Tanzania hakunaga maugomv ya kijinga kwa ajili ya soka.. gud sana
 
Back
Top Bottom