Sory mkuu hao akina nani sisi tulioko huku boko mnemela hatuwajui
Ahaa..Mimi siwafahamu hao, nimeona picha tu
Acha mikelele basi oil gani unaongelea wewe? Mimi nimeona miguu wameingiza katikati ya hzo bars sijui ndio zinaitwa mataluma mm sio mtaalam sana wa mambo ya reli!Wote mliosema imekatika simu zenu ni za kizwa zwa........hiyo si oil imechafua hapo.......labda ilikuwa wakati wa kuwekwa hiyo miundo mbinu......angalia vizuri hiyo picha .....zumu utakona kirakitu hacha uchadema chadema na upinzani mkojo mkojo hapo......
Acha mikelele basi oil gani unaongelea wewe? Mimi nimeona miguu wameingiza katikati ya hzo bars sijui ndio zinaitwa mataluma mm sio mtaalam sana wa mambo ya reli!
Wote mliosema imekatika simu zenu ni za kizwa zwa........hiyo si oil imechafua hapo.......labda ilikuwa wakati wa kuwekwa hiyo miundo mbinu......angalia vizuri hiyo picha .....zumu utakona kirakitu hacha uchadema chadema na upinzani mkojo mkojo hapo......
Hata mm nimewaza hilo.Hizo sio crack hata kidogo.What if it’s oil spillages therefore reveals other problem. Kwamba test train ilikuwa inayumba yumba