Hii picha inafichua jambo kubwa sana katika huu mradi wa kimkakati

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,922
5,518
Picha ongea pls;

Tuichakate vizuri hii photo

IMG_1971.jpg
 
Wote mliosema imekatika simu zenu ni za kizwa zwa........hiyo si oil imechafua hapo.......labda ilikuwa wakati wa kuwekwa hiyo miundo mbinu......angalia vizuri hiyo picha .....zumu utakona kirakitu hacha uchadema chadema na upinzani mkojo mkojo hapo......
Acha mikelele basi oil gani unaongelea wewe? Mimi nimeona miguu wameingiza katikati ya hzo bars sijui ndio zinaitwa mataluma mm sio mtaalam sana wa mambo ya reli!
 
Acha mikelele basi oil gani unaongelea wewe? Mimi nimeona miguu wameingiza katikati ya hzo bars sijui ndio zinaitwa mataluma mm sio mtaalam sana wa mambo ya reli!

Acha uchizi wewe sasa wewe uoni izo wanazosema ni nyufa iyo ni oil imemwagika au ujaelewa kwanini muanzisha thread kaanzisha izo apo yeye alizani ni nyufa ndio madhara ya kutumia tecno aya
 
Wote mliosema imekatika simu zenu ni za kizwa zwa........hiyo si oil imechafua hapo.......labda ilikuwa wakati wa kuwekwa hiyo miundo mbinu......angalia vizuri hiyo picha .....zumu utakona kirakitu hacha uchadema chadema na upinzani mkojo mkojo hapo......

Wanamiemko tu na vitecno vyao na wataishi kwa tabu sana kwasababu ya chuki zao za kiboya bumbav zao
 
Sleeoer ikatike,mnaleta mchezo nyie..ile ni zege hasaaa sio ya fundi maiko,ni international made..ina uwezo wa kukaa hapo miaka 100 na haiteteleki
 
Ni oil spillages hizo,tuwe makini na post zetu

Picha haijatafsiriwa na mletaji, ipo kama ilivyo, usi quote vibaya post mkuu

Ndo maana nikasema acha picha iongee na kila mmoja atoe concern yake kuhusu attachment
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom