Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Nghumbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi
"Mnyika achana na hao vimwana wadogo"
"Niite gamba au la mimi ni wako wa Ubungo"
Ni ujumbe mzuri wa kumaliza uhasama.
inamaanisha alilazimishwa kwenda kufungua kesi kupinga ushindi wa mnyika lakini inaonekana yeye mama alikuwa hana nia mbaya na ushindi wa mnyika