Hii pekee ipo Rwanda


Kwanini mtz anafuatiliwa zaidi ya wengine?,tusaidie mkuu.
 
Ule ulinzi si wa kawaida mpwa, ukiwa mgeni lazima ufahamu uvurugwe na confidence itikisike kiaina maana ni zaidi ya askari walioko frontline kule Cambodia kwa jinsi walivyojicamouflage na kizuri ukiwaona tu sio askari polisi wala askari jeshi wote wana physique na body za kiaskari kiukweli sijaona askari mwenye kitambi kwa muda wangu wote Rwanda na pia idadi kubwa ya askari ni vijana kati ya miaka 18-33 yrs cha kustaajabisha hawakai kwa muda wote wawapo doria au lindo.

Ukiwajua hawana shida maana huwa hawahoji wala kuharass mtu wao ni kuhakikisha wewe na huyo mchuchu mpo salama. Ni kama masanamu vile.
 
Hayo yote ulioyataja hakuna kitu kama hicho. Mimi naijua ile nchi nje ndani.
 
Bt mkuu tarehe 28 ulitoa thread yako moja ikihoji KATI YA RWANDA NA KENYA ni wapi pahala sahihi kuhamia na kuishi,bt pia ukahoji taratibu kadhaa za kua huko, bt leo tarehe 5sept unadai ulikwenda na ulirejea(kutoka likizo)

UWIANO UPO WAPI,muda uliokaa uka arrange safari yako toka tarehe 28 aug,uliyoomba elimu humu,na kuarange safari , siku za safari,siku ulizokua huko na hatima kurejea tz na kutuanfikia mrejeshoo huu...me naona kama hii story ya kijiweni umeunga unga Rim ili kukamilisha kusudio lako @ humble africa
 
Ni kweli siku nyingine niliona nijisogeze kwao nikawaambia mi Mtz vipi naweza kuingia Disco wakasema haina shida hata ukilala ila usilewe ukaleta fujo. Basi ile nimeingia tu aki na mama wafanyabiashara sokoni wakaleta fujo na ndani ya dakika 3-5 walijaa askari na siraha na redio zenye antena ndefu kama movie za Kimarekani na mimi mood ikaisha kabla lengo langu halijatimia....so funny Kigali raha.
 
ulienda Car Wash?
 
Sema na kaukurasa kangu hako kavisa Mpwa.

Rwanda kigali ni nchi ndogo na kwa namna nilivyokatembelea nimenasa hayo kwa haraka haraka mpwa.

Nimefika ila kuna dharula imejitokeza that's why nimekuja Mwanza then soon nitarudi nimalizie mautamu.
 
Daaaaah Primus nimeikata sana hiyo maeneo ya Kibondo ...na Kakonko
 
Hayo yote ulioyataja hakuna kitu kama hicho. Mimi naijua ile nchi nje ndani.
We ndo huijui nchi. Mleta mada yuko sahihi 100%. Doria ni polisi na jeshi kila baada ya mita chache na usiku wanaongezeka, disco kuna totoz wa ukweli ila pembeni ni askari na siraha, chakula ni nyama inauzwa kwa mapande na supu hawakati vidogovidogo, kwa sasa ukisema mi ni Mtz utasikia wanasema msalimie POMBE hawataji Magufuli, ukikuta wanacheza ngoma yao mademu wanakuja mnacheza nao we ni kunyonga mikono ikae kama pembe za ng'ombe wao, siku ya usafi kama umechelewa kutoka hotelini saa 11 imekula kwako mpaka saa 4, Tz iko saa moja mbele ya Rwanda...Bisha na hili.
 
Yale mambo yetu yaleeeeeee!
 
Ila nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!
 
Sawa rafiki asante bwana!
 
Ni kwa sababu Tanzania kuna wakimbizi wengi wa kinyarwanda na ni mojawapo ya njia kuu ya wale ambao hawaiungi mkono serikali yao. Ukienda huko kua makini mana wale jamaa intelijensia yao maarufu DMI ni kali sana.
Duh! Shukrani best😀!
 
hapa nahisi imeongeza chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…