Hii pekee ipo Rwanda

Hahaaa Kaka umetisha.Tutajonea huko.Asante.
 
Vipi ulikutana na wale wajeshi walioua Watanzania wale wa Bukoba....wanaongoza kwa.....

i wanna visit there... ila Mbona hujatoa Onyo lolote huko maana am sure ukikosea kitu kule sidhani kama utarejea salama even your dead body sijui...

Ndege zao na zetu zipi nzuri? na wao wana mapangaboi kama yetu?
 
ONYO: Ukiwa Rwanda usijaribu kuzungumzia kwa kukosoa muundo wa uongozi, siasa na mambo yote ya ki usalama.

 
Kuwafikia Rwanda itachukua miaka 10 hiyo ya Kupendana sio utawala huu
Kweli hawa jamaa wana spirit ya kutaka kwenda mbele kimaendeleo na si vinginevyo.

They are strong determined, focused and disciplined toward their 2020 goals.
 
TANZANIA pia ni nchi pekee ambayo ukifeli form 4
Unaenda CHUO KIKUU.
 
..Si yeye ndio ametembea hadi hapo sasa wewe usimseme kaongeza chumvi..jamaa anayosema ni kweli!kumbuka Congo ina waasi pia wana uniform zao mzee...hakuna chumvi yupo sawa tu!
Waasi wana uniform zao zipi?

Hilo la uniform sio kweli, DRC na Burundi Askari wote ukitoa wanajeshi tu wanavaa uniform zinazofanana
 
..hiyo ndo tofauti sasa"kikoti cha reflector tu"
Hata Rwanda wanavaa hivyo vikoti wakiwa barabarani, naongea kwa experience mkuu, Rwanda, DRC Na Burundi Police wao wanavaa sawa yaani nguo za Dark blue na hao trafic huwa wanaongeza hivyo kikoti vyenye reflector
 
da interested cjui nkaoleee huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…