Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,372
- 6,509
Daaaàah hatari
Kbsa yan... Wala haigizi, anamaanisha dailyVitisu amaizing. Naona una enjoy penzi mkuu
Ndio wapendhi wetu hao..Hayo majina yalivyo tu...hahaha
Ubaweza kuliongezea chief. Hiyo list siyo mwishoBahati mbaya ujaweka nipo kundi la makinikia
Heheee.. Lugha gongana. Imeze ivyo ivyo mkuuNamba 9 imeniondolea mawazo kidoogo .
Ila lugha iliyotumika kwenye utafiti ndio ngumu kumeza.
Hahahahahahahah
Hongera kwako mkuuKbsa yan... Wala haigizi, anamaanisha daily
Unahisi kuna kuna haja ya kumshirikisha Honi Sigara yule wa baraza la kiswahiliDaaah inabidi tuanzishe kamusi special kwa ajili ya wapenzi
Sasa huyu si ndio mzuri sasaUmesahau vibwengo.
Hawa huhitaji ngono kila mnapobaki wawili
SwadaktaSasa huyu si ndio mzuri sasa
Hahaha sawaNdio wapendhi wetu hao..
Nimeishia madrasa tuForm four ulipata ngapi.? Maana tusije tukapotezeana muda hapa. Kama thread ilivyo huu ni utani mzee baba. Kama ulikoment kutania na mimi natania
Ya leo kali mkuu.mmmh ngumu kumeza
kabisa mkuuYa leo kali mkuu.
Mbona Madrasa hawafundishi kujibu watu kwa kejeli. Hukuona inakuhusu usinge coment namna ile.Nimeishia madrasa tu