use 6000/= o more in a month,n get 3000/= worth of internet data free!! Hii ndo ofa yenyewe inayolast 4 6mnths!! 1mb costs 6.25sh so do the math of the data worth 3000!! Hii ni scam 2.kama unahamia hamia sababu ya speed 2,si kwa ajili ya hiyo ofa
Kama 1mb ni sh 6.25 mbona ni offer nzuri? Ina maana 1gb itakua 6250, cheap zaidi. Maybe umekosea maelezo
yep thats right!! No wonder u get 400MBs for just 2500/=!!what can i say,vifurushi vyao vizuri. 3GB for 15,000 that means a GB costs not 6250 but 5000 (ni data ya 1week though).
Hiyo ya 400MB kwa 2500/= sahau wameshaiondoa tena.....huku speed yao ikiwa kama ya konokono piga *154*44# ujionee....NGOJA NIANZE KUTAFUTA ALTERNATIVE CHEAP INTERNET kwa speed nzuri.
naunga mkono hojamkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
Sijui wengine mnakaa mikoa gani?maana hapa Mwanza ni jana tu nilienda kuulizia hizo modem za ofa nikaambiwa mpaka june ndo zitakuwepo lakini za kawaida za 53000 wanazo,nikawashauri matangazo wayatoe kwanza mpaka zitakapokuwepo,wakaniambia watalifanyia kazi kwa ujumla hawa Airtel wezi wakubwa.