Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Hujui kitu wewe, hiyo ni nyumba ya Daudi Bashite iko mwanza! Tuulize sisi wajuvi wa mamboNi hoteli ipo Kigoma huko
Lete document, nyie ndio wale kipindi cha JK mlikua mnasema kila ghorofa jipya ni la RizoneHujui kitu wewe, hiyo ni nyumba ya Daudi Bashite iko mwanza! Tuulize sisi wajuvi wa mambo
Jamani jamani!Hujui kitu wewe, hiyo ni nyumba ya Daudi Bashite iko mwanza! Tuulize sisi wajuvi wa mambo
ikiumasemaLete document, nyie ndio wale kipindi cha JK mlikua mnasema kila ghorofa jipya ni la Rizone
Mbona ni Nyumba ya kawaida mkuu au vioo vimekuchanganya au mm cjaelewa swali lako
An expensive ghetto!