MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,221
- 2,235
Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo hidden roof iwe mbele tuu. Msaada wenu tafadhali 😊