HII NYINGINE TENA KWETU WANAUME

HII NYINGINE TENA KWETU WANAUME

😅😅😅tayar ushapigwa cha mbavu kaa utulie wacha vijana wapambanie kombe
 
Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto

Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe wa kushoto.

Kiukwel sijawahi umizwa katika mahusiano Kama nilivyoumizwa mwaka Jana daah! Kuna mdada nlipenda nlampa Kila alichohitaji ila mmmh! Noma snaaa....!!
Tulia atarudi tena
 
Hicho kichwa tu ukunga huo akizamisha yote si ndo utang'ata pua mwenzio!?
 
Asa ndo nn....kwann usitulie ukaandika uzi wenye details na maana??
 
Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto

Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe wa kushoto.

Kiukwel sijawahi umizwa katika mahusiano Kama nilivyoumizwa mwaka Jana daah! Kuna mdada nlipenda nlampa Kila alichohitaji ila mmmh! Noma snaaa....!!
Kushoto sijui Kuna nini hata msolopaganzi ukisimama tu huangalia kushoto.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto

Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe wa kushoto.

Kiukwel sijawahi umizwa katika mahusiano Kama nilivyoumizwa mwaka Jana daah! Kuna mdada nlipenda nlampa Kila alichohitaji ila mmmh! Noma snaaa....!!
KWANI VIPI ILIKUWAJE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom