hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

Safi sana.Jirekebisheni wanaume wenye hizo tabia.
 
Leo umetuamulia ila yote cz yke ni nyie kila kona mnakaba.unakuta mdada kila cku yuko bar anatega tena w haja halafu ukimpa hi tayari wko
Nenda b bar, calabash, shkamoo pesa.jackies, jb belmont etc wko.so wa2 wanajilia kwa raha zao

Ukifika hom wife katoka job kachoka mara n kichomi, mara leo naskia chembe y moyo, mara mshono unauma nkitafuta msaidizi utalalamika
 
tehe tehe, sister wangu huyu jamani aaah anavituko, ngoja niende hapo jirani tuna kikao na wafanyakazi wenzangu tutaonana baadaye
 
Back
Top Bottom