Habari zenu mabingwa wa MMU,Hii ilinitokea jumamosi iliyopita nilimtumia demu wangu nauli aje kuninyoosha kidogo kiuno changu yaani aje jumamosi jioni aondoke jumapili jioni.
Sababu ya kuuliza ni kwamba huyu demu alikuja na kiroba cha pichu yaani nikimaliza bao anava pichu anaenda kuirekebesha toilet simnajua nyumba zetu za uswahilin choo 50m away,kwa bao tano nilizopiga mdada alibadilisha pichu tano plus aliyovaa akiondoka jumla sita.
SWALI hii imekaaje ni usafi au mbwembwe kupiga pichu tano per night?
Kama angekuwa msafi angeoga mara 5 na si kubadili chupi mara 5!
ishu hapa ni kwamba jamaa kama uholanzi...five o' clock...hapana chezea...
Hizo bao tano nyingi "zinapigwa" humu JF kwenye uhalisia hamna kitu. Usiumize kichwa bure!
Hizo bao tano nyingi "zinapigwa" humu JF kwenye uhalisia hamna kitu. Usiumize kichwa bure!
Kama angekua haendi kwa mtu mwingine sasa furushi lote hilo kwa mpenzi wako kwa usiku m1 la nini au ni muuza pichu kakosa wateja kaamua atumie yeye?unajuaje kama akitoka hapo anaenda kubadili kwingine
Wapo wanaopiga ila sio wengi
Kama angekua haendi kwa mtu mwingine sasa furushi lote hilo kwa mpenzi wako kwa usiku m1 la nini au ni muuza pichu kakosa wateja kaamua atumie yeye?
kweli huo ni usafi tena sasna hongera kwa kumpata mrembo msafi kiasi hicho ila kaa ukijua akitoka hapo anakwenda kubadili pichu nyingine 5 kwa watu wengine wa5 mkuu habari ndo iyo