Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,798
- 110,011
Kwani Polisi Ni Mali au Wako Chini Ya Nani? Hivi Jamani Hili Ni Swali La Mtu Kuuliza Kweli? Kwa Mtindo Huu Mtakuwa MAPOPOMA Sana Tu!
Napata tabu kung'amua uwezo wa elimu yako...
Kwa hiyo askari kuwa waajiriwa wa serikali kunawafanya wao kuwa serikali?
Na pia mtu akipiga picha na askari basi anakuwa ni sehemu ya serikali?