Wamelipwa kiasi na wamelipwa na nani?

Wamelipwa kiasi na wamelipwa na nani?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,790
Reaction score
15,575
Hawa wapiga Domo wa clouds akina Kampista wamelipwa shilingi ngapi ili kumtetea waziri?Siamini kama hawajui kwamba suala la mpira na timu ya taifa halitakiwi kuendeshwa na wana siasa.Wanatetea sana waziri kukataa jezi za timu ya taifa.Wanaenda mnali na kudai kwamba timu ya taifa ni mali ya serikali na TFF anasimia tuu.Sijui huu muongozo wameutoa wapi! Nimekumbuka kipindi Mzee Ndolanga alivyoivimbia serikali na akaungwa mikono na fifa.
 
Hawa wapiga Domo wa clouds akina Kampista wamelipwa shilingi ngapi ili kumtetea waziri?Siamini kama hawajui kwamba suala mpira na timu ya taifa halitakiwi kuendeshwa na wana siasa.Wanatetea sana waziri kukataa jezi za timu ya taifa.
ok.🐒
 
Jezi zile hazina mvuto abadani....mbona uzi wa yanga uko vyema sana?
 
Back
Top Bottom