Hii ni Siri Yako!!

Actually Zitto akienda CCM atakuwa even stronger politically... but very weak morally!!!
 
Hana jipya hata akienda huko....toka ateuliwe kwenye kamati ya madini, amekuwa mjasiliamali zaidi. Bwana mdogo ameshapata alichokuwa anakitaka.

Toka amewekea keki mdomoni, ameamua kuwa mtafunaji tu.....akifungua mdomo kutaka kuongea...analishwa keki, kinachofuata ni kuitafuna mapaka iishe...ingawa sijui itaisha lini.

Sijui wako wapi wale waliokuwa wakimwona kama mkombozi wa wanyonge....waje watueleze imekuwaje!!
 
...There are many ways of committing political suicide.........

i dont think it is a political suicide, mimi nafikiri kama ameamua hivo basi kuna jambo ambalo ameona akiwa ccm basi itakuwa ni njia mbadala ya kuwatumikia wananchi wake, haaimanishi samaki mmoja akioza basi wote wameoza--------mwacheni jamani, kutumia wananchi sio lazima uwe chadema au nccr-mageuzi

hata ccm ni sehemu tu nzuri ya kutmikia Taifa mradi tu hiari yako ina makusudi mazuri tu---ccm also is a good place--good palce
 
Hana jipya hata akienda huko....toka ateuliwe kwenye kamati ya madini, amekuwa mjasiliamali zaidi. Bwana mdogo ameshapata alichokuwa anakitaka.

Toka amewekea keki mdomoni, ameamua kuwa mtafunaji tu.....akifungua mdomo kutaka kuongea...analishwa keki, kinachofuata ni kuitafuna mapaka iishe...ingawa sijui itaisha lini.

Sijui wako wapi wale waliokuwa wakimwona kama mkombozi wa wanyonge....waje watueleze imekuwaje!!

mimi naona kijana bado ni mpiganaji, cjui wewe unakifikiria katika mapana yapi, cwezi aamini kirahisi Zitto kuwa kimya basi kalishwa keki, la hasha, yupo busy na shule, anatafakuli akirudi kwa wananchi wake aandae mipango ipi ya maendeleo, hawezi kuanza kubwatuka tu---he is a strategist you have to take it in your head, stategist yoyote yule huwa habwatuki always goes with facts---ameongelea ishu nyingi sana bungeni with facts na ndo maana Watanzania tuko pamoja nae-----nafikiri bila Zitto scandals zote za madini tusingezisikia wala kusoma kwenye magazeti.
 
Huyo dogo ni maarufu kwa hoja zake ila ukweli ni kwamba siasa hajui mbishe msibishe. Nilimshangaa aliposema anamuunga mkono Kafulila wa NCCR mageuzi wakati yeye ni Naibu katibu Mkuu w3a Chadema, Inawezekana vipi katika medani ya siasa George Mkuchika kumuunga mkono Profesa Lipumba agombee Urambo halafu CCM wamwache aendelee na nafasi hiyo. Mwenyewe sitakubali ningekuwa mwenyekiti wa CCM.

Zito asidhani kuwa akihamia CCM atapata ubunge, hiyo ni ndoto abakie hapo alipo akiona amekosa aache siasa kama alivyowahi kutamka mwenyewe. jukwaani.
 
Mtaji wa mwana- si -hasa ni bongo yake mwenyeweeeee x2
wale wenye magari hawakuzaliwa nayooooo
wale wenye majumba hawakuzaliwa nayoooox2...

achiii achiii achiiiiiiiiiii....Wewe utauwawa bureeee!!
 
Huyo dogo ni maarufu kwa hoja zake ila ukweli ni kwamba siasa hajui mbishe msibishe. Nilimshangaa aliposema anamuunga mkono Kafulila wa NCCR mageuzi wakati yeye ni Naibu katibu Mkuu w3a Chadema, Inawezekana vipi katika medani ya siasa George Mkuchika kumuunga mkono Profesa Lipumba agombee Urambo halafu CCM wamwache aendelee na nafasi hiyo. Mwenyewe sitakubali ningekuwa mwenyekiti wa CCM.

Zito asidhani kuwa akihamia CCM atapata ubunge, hiyo ni ndoto abakie hapo alipo akiona amekosa aache siasa kama alivyowahi kutamka mwenyewe. jukwaani.

kaka wewe unajua siasa za aina gani, siasa zipo za aina nyingi, you may be a liberal or conservative, sasa Zitto yeye sio conservative, yaani yeye akiona kitu fulani kina manufaa kwenye upinzani aseme no mradi tu yeye ni katibu wa chadema, hatuendi hivo, ukiona hivo ujue hizo bado ni siasa mgando zisizo na uwajibikaji, pale penye mwanga wa nani anafaa hapana budi ya yule mtu kuungwa mkono, hizo ndo siasa zilizokomaa na zenye mwelekeo---------usilete siasa za akina kapiteni mkuchika hapa, wana siasa mgando na zimekosa uwajibikaji
 
Hayo ni mawazo na mtazamo wa mchoraji na wala hakuna ukweli wowote, kwa vile ni mwana JF ajitokeze atujibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom