mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
Acha hiyo kazi mara moja. Hama na mkoa utafute kazi sehemu nyingine.Aisee!pole sana,kisaikolojia bado litakusumbua najua hii ni hatua ya kwanza ya pili tafuta watu2 au 3 zungumza nao kwa ukaribu,Mungu akutangulie