Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Kwani kuna sehemu nyingine iliyobarikiwa hivyo zaidi ya Arusha au Kaskazini?
Njombe hiyo wewe.Arusha kwa kujidai jamani au kwa kuwa kwenda Kenya hapo Namanga mmekopi tabia za huko kila kizuri ni chenu,kwa Manyara ni Arusha?Ndo na Serengeti mnaiita iko Arusha,mmepewe na lake Victoria mfurahi kabisa.
Halafu wazee maguide wa Arusha wamegangania kwenye usukani na kufanya vijana wa Arusha kukosa ajira
Wambie baba zenu wapumzike wawachie vijana wapate ajira
Sent using Jamii Forums mobile app
Chini ya ulimi.
Mkuu unakufahamu mzeeInataka kufanana na sehemu inaitwa bondeni, kama unatoka sumbawanga unaelekea sehem inaitwa Muze
Yaaah kuna project nilikuwa nafanya nikaenda muze hadi mtowisa, sasa kuna eneo linaitwa bondeni, ni hatar sana