Serikali ya Nigeria imetoa agizo kuwa wanawake wanaovaa suruali za kubana wachapwe viboko hadharani ili kufanya jamii iwe na adabu kabisa.
Je, unauonaje uamuzi huu?-Voice of Zigua
View attachment 418054
Mkulu Wetu Mzee Magu akiruhusu tutakosa uhondo....KUTOKANA na kuporomoka ki maadili naiona hiyo ni sahihi kabisa jpm angeiruhusu na uku hiyo ingekuwa vyema sana