Hii ni sawa ktk mashule? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni sawa ktk mashule?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kaitaba, Oct 2, 2011.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeudhulia maafali ktk shule moja hapa Dar, kilichonisiktisha ni:
  -wahitimu wengi walikuwa wamevaa Kata K
  -Wahitimu walivaa suti badala ya sare zao
  -Maonesho yao wengi walicheza kiduku na michezo ya kunengua na kukata viuno

  Ndugu zangu haya ndiyo maadili kutoka kwenye shule zetu?
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Shule ya vipi? Government, private- christian, islamic, individual etc, then we will comment
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Shule ni ya private, ni ya day na boarding, na siku hiyo walimualika mgeni rasmi kutoka manispaa ya kinondoni.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Acha watoto wafurahi na viduku.
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Utandawazi huo.
   
Loading...