mzabzab unanitia mashaka kwanza wewe ni mwanaume/mwanamke?
na je umeoa au umeolewa?
maana afadhali apige honi bila kufoka, mtu anakupigia honi huku anafoka na keshamwambia mlinzi afungue geti anaanza kutoka kwa hiyo mm nitoke ndani nakimbia kama mtoto kulikimbiza gari. hiyo ni sawa? usiseme kitu kabla hakijakukuta.
mie ni kidume bwana na bado nipo nipo.
listen wewe nae uchaguzi wako mbovu ndio maana ssa utachaguaje jamaa ambaye doesnt appreciate what u do for him bwana.
anyways sidhani ni kitu kinachotokea kila mara na kama kinatokea kila mara basi hapo kuna jambo ambalo itabidi mkae mzungumze.