Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

Mmh mbona kila siku ni post za matatizo ya ndoa 2?sijawahi ona uzi uloletwa kuonyesha mema na raha ya ndoa,hv ndoa ni matatizo tu?mbona mwatutisha tulio single?

Yakiletwa mema hapa mtandao utaelemwa. Na mara nyingi habari mbaya zinauzika zaidi kuliko mbaya.
 
Ukiwasikiliza wanavyojitoa humu eti sio wote, wababa mna balaa kweli nyie......asilimia kubwa wako hivyo hivyo.....
 
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:

Pole sana na mwanaume asiyejali. Lakini kabla ya kumlaumu, si ajabu haoni kuwa unafanya kazi nyingi kuliko mtu yeyote. It might be that it has never crossed his mind to think of the workload of house duties you are attending! Let him get the sense of the workload you are doing, may be , if he is a man of people, will realize the reality and embark on change.
 
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:

Hii ni hoja ya msingi sana>lazima kuwe na kutafakari halafu kuchukua hatua!
 
Bado hajakukwida usiku kucha
acha nile maisha mie
naamka zangu huyooo bafuni ....
sawa tu we kula maisha. lakini kumbuka una deni kwa MUNGU alisema zaeni mkaongezeke,.. utamuacha mama na baba yako utaungana na mmeo nanyi mtakuwa mwili mmoja!
 
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:
pole sana dada lisa, mmeo nadhani ana tabia hiyo kutokana na maisha aliyokulia. kazi za nyumbani ni noumer, zinachosha balaa. inawezekana hajawahi kuishi geto peke yake akafeel kazi hizo.
mie nikiamka w-kend asbuhi, kufua, kusafisha nyumba, kuosha vyombo na kupika, jioni hoiiiiiiii, hata kuna match huwa na miss kuangalia sababu ya uchovu. chezeya housework weye!!!!.
 
Pole mama kama anakufanyia hivyo wa mimi! namwombea msamaha! ukweli wa mama mnafanya kazi si haba! naaidi kumfanyia vyema na kumjali nitakaye muoa...!
 
mbona hii kawaida sana! wala hutakiwi kuwa na wasiwasi kivile na wakati mwingine inaweza kufanywa kwa utani kuzidi matamshi yenyewe kuonyesha ukidume wa baba kwa watoto na majirani wanoomba lift kwenu!
it sound bitter but it sound sweet in his heart!
jiamini kuwa wewe ni jembe na MUNGU atakutetea usiogope hilo sio tatizo kabisa
 
We kwanini ukae kwenye dressing table masaa ma3?
Unajipamba kwa ajili ya nani mwingine?

Hili ni kosa kufikiri mwanamke akishaolewa hapaswi kukaa kwenye dressing table. Tena akishaolewa ndio anatakiwa akae zaidi ili ampendezeshe mume wake. Ili vijizi visipate nafasi ya kuuchukua moyo wa mume wake kwa kujipamba tu. Na hili ndio kosa mojawapo wanawake wengi wanakoseaga wakifikiri akishaolewa ni kujiachia tu hata sidiria havai hata kuoga ni mara moja au pafyum haina nafasi tena, hahangaiki hata kuelewa fasheni gani zipo mtaani nk.

Kuhusu kuulizwa ulikuwa wapi inategemea ni katika mazingira gani swali hili linaulizwa. Kwa mfano katika maelezo yake maanake alishajiandaa kabla hata mume wake hajaamka. Sasa huyu mwanaume ameamka, amekunywa chai bado tu hujamaliza kujiandaa tuuu. Ok inawezekana kabisa unajua hali ya foleni za jijini hapa na kazini unatakiwa kuwahi na wewe umechelewa bila sababu za msingi hapo ukiiulizwa kuna kosa gani?

Ndio sababu nimesema inategemea na mazingira swali hilo linauliziwa na "tone" inayouliza hilo swali na mahusiano yaliyopo kati ya mume na mke kwa wakati huo. Vinginevyo take it positive for the sake of good health of your marriage.
 
Dada Lisa, Pole sana. Naona liko tatizo la msingi baina yenu, vunja ukimya muongee na kuona kuwa nyote mnawajibu wa kushirikishana, kusaidiana, kuthaminia na kutambua kuwa ni wajibu wenu nyote kuendesha maisha ya siku na ratiba zake
 
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:

Kumbe unafanya kazi!!!!!!!!!!!!!! nunua na wewe kila mmoja awe na lake. Mbona tatizo dogo tu. hiyo ni challenge katika maisha
 
Binafsi sitakagi kabisa mtu aniharakishe kisa yeye yuko tayari na ili hali anajua mama ana multiple roles kwenye nyumba yake. Kama una haraka zako nenda tu baba ntakuja mwenyewe mdogo mdogo. Sihitaji stress zisizokuwa na sababu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na bado unalala hoi unashindwa kufanya kung fu moves kitandani daily. Unaletewa small house manake unaambiwa humridhishi. Kuwa mwanamke ni ajira tosha. Najichubua hapa nitafute lace wig niwinde muarabu mwenye kisima cha mafuta nianze kukaa home kutwa kama natalia mie!

hahahahahahahahha
no comment
 
Back
Top Bottom