Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lisa, Oct 22, 2012.

 1. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hABARI ZA ASUBUHI
  mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

  Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
  Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
  naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:
   
 2. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Dada yangu Lisa pole kwanza kwa kukereka na hiyo situation hapo home kwako.Nadhani ni vzr ungekaa one to one na mwenzio umuelezee kero yako na kama ni muelewa atakuelewa tu.Sio wanaume wote wako hivyo.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Na bado unalala hoi unashindwa kufanya kung fu moves kitandani daily. Unaletewa small house manake unaambiwa humridhishi. Kuwa mwanamke ni ajira tosha. Najichubua hapa nitafute lace wig niwinde muarabu mwenye kisima cha mafuta nianze kukaa home kutwa kama natalia mie!
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,027
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  We kwanini ukae kwenye dressing table masaa ma3?
  Unajipamba kwa ajili ya nani mwingine?
   
 5. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Atakua ana Matatizo Mmeo ama ana kasoro namaanisha kiakili.ama pengine ana ugojwa wa kusahau nashindwa nimuelelezeje :hail:
   
 6. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kaka jambazi sikai muda mwingi sana kama unavyodhani, ila pia nisipokuwa nadhifu huwa mnanuna na kusema tunasababishia kutafuta small house, lipi jema kwenu?
   
 7. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hii inaonyesha ni mume wa aina gani uliyempata. POLE kwa maswahibu yanayokukumba.
  Si wanaumme wote wako hivyo, hii ni tabia ya baadhi ya wanaume waliolelewa katika familia kila kitu anafanya mfanyakazi, anapeleka tabia hii hadi nyumbani kwake.
  Cha kufanya kaa nae chini huyo mme wako na mueleze, nini hisia zako kuhusu suala zima la ushirikiano wa kazi ndani ya nyumba.
   
 8. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  we acha tu ! Tena unaweza ukawahi kuamka hivyo ukirudi chumbani ili uende ukaoge anakurudisha kitandani uumpe cha asubuhi halafu ndiyo ukaoge ! Lkn bado anakuuliza ulikuwa wapi saa zote? Kwa kweli nimekasirika sana
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Bado hajakukwida usiku kucha
  acha nile maisha mie
  naamka zangu huyooo bafuni ....
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Lisa yanazungumzika hayo mambo, Vunja ukimya na mwenzako!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  naomba nikuulize swali na wewe unafanya kazi au ni mama wa nyumbani??
   
 12. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mm ninafanya kazi ndiyo maana akanipigia honi kuniuliza ninafanya nn masaa yote?
   
 13. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  pole sana, siyo wewe tu, FOLENI NDIYO INATUSUMBUA...LAKINI HAIMANISHI KWAMBA HATUTAMBUI UMUHIMU WENU, HILI NIMESHALISHUHUDIA MARA KADHAA. ANYWAY...POLE SANA JARIBU KUSEMA UKWELI KWA BABA WATOTO
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,009
  Likes Received: 23,723
  Trophy Points: 280
  Angekuwa mama wa nyumbani, angepigiwa honi ya nini?

  Bahati mbaya sana Lisa kamvua mmewe nguo hadharani hapa akijiaminisha wanaume wote tuko hivyo.

  Si mambo yote ya kuleta humu jamani, mnadhalilishana tu. Mambo kama haya ni ya kukalishana kitako na kuwekana sawa. Ni vijimambo tu hivi!

  Ni mimi ODM nawashaurini wakati nikirejea mapangoni Torabora.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pole sana lisa,kuna baadhi ya wanaume hawajitambui,asikwambie mtu saikolojia ya mwanamke ni nyepesi sana
  mpende,mbembeleze,mjulie hali,mawasiliano mazuri,mpe pole kwa kazi ngumu na nyepesi then payback yake you wont believe!
  na ndoa itakuwa poa sana!!thread kama hizi hatutaziona tena humu
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nunua na wewe gari lako uwe unajitokea unavyotaka
   
 17. J

  Jalem JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dada pole kwa hili, ni mfumo dume ambao baadhi yetu bado wanao, lkn wapo baadhi wanaume bora ambao, wana appriciate kazi ngumu ya mama, na pia wanao amini kuwa LOVE IS DEMOCRASY hata kama ni mkeo ni vema ukampa amani na furaha ya nyumba yake na sikumfokea kila wakati, kwani baadhi ya wake, hawakulelewa kugombezwa makwao waliko zaliwa,
  Naomba msamaha kwa niaba ya wote ambao hawafanyi sawa katika nyumba zao, tutajirekebisha na kuwa wababa wazuri sana.
   
 18. J

  Jalem JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu dawa ya maumivu Aspilini, amekuletea wewe umpe ushauri apoze moyo wake, si kweli km kamvua nguo mmewe, ila ameona Asplin na Asplo zinaweza tuliza yale yanayo umiza moyo wake, sote ni dawa ya machungu yanao mkabili tumpe pole na ushauri apate amani.
  Waego ulakotze.
   
 19. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  pole sana,cha msingi mkae mzungumze tu kwasababu kuna majukumu mengi ya nyumbani ambayo hata mwanaume anaweza kuyafanya bila shida yoyote.
   
 20. h

  hesalieyo Senior Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  courtesy
  umeoa?
   
Loading...