Tatizo si kila mwanaume bali tu baadhi yetu,lakini nikukumbushe kuwa mumeo haandaliwi na mtu mwingine yeyote bali wewe.The way unataka mumeo awe wewe unahusika,kwanini msingumze mbona atakuwa anakuelewa tu kama kweli anakupenda.
Nafahamu kuwa hili lipo na hata mie kuna wakati nadhani ndiye mwenye majukumu mengi kuliko mke wangu kitu ambacho si kweli labda kutokana na mfumo tuliorithi toka kwa mababu,but kama mnajipa nafasi ya kujadiliana juu ya mambo yenu litakuwa vizuri.Hilo linajadilika ndani ya nyumba!