Hii ni 'pure class'...

nishauona...na utuache tulale
cc: Mentor

Hii staili ya kumtongoza mai waifu mwallu mi siikubali mkuu @c6...tuheshimiane sana aisee!

Wakati naswaga ng'ombe kupeleka kwa babu yake kule Ntuzu au wakati napeleka blanketi Gamboshi kwa nkwela muuza ubuyu naamini hukwepo na hukujua shida nilizopitia.

Mwache kabisa mke wangu mwallu..nampenda..nampenda..nampenda...
charminglady..mto mumeo hapa la sivyo next time utaitwa kwenda kumtambua Bugando Mortuary!!!
 
Last edited by a moderator:

Makopa Mengi sana kwako hubi.
 
Last edited by a moderator:
The Boss,

Wadamu sisi ni watu wa ajabu sana, tunajua kuna mabaya na wabaya katika jamii zetu. Tunajua kuwa kuna makosa wanadamu tunafanya (regardless ni kwa bahati mbaya ama nzuri), na tunaelewa si wakati wote tunaweza kupata kile tunachokitaka ama kupanga.

Pamoja na kuelewa yote haya, bado huwa tunajisahau na kila mmoja wetu kupenda kujiona yupo special na hawezi kujitazama kwa misingi ya makosa ila kama malaika tu. Tunapenda sana kutafuta wa kumlaumu kila litokeapo lile ambalo hatujalipenda katika maisha yetu. Mfano huo wa mahusiano umetoa ni mfano mzuri sana, mafanikio ama kushindikana kwa mahusiano it takes two. Ni nadra utakuta mtu ata acknowledge mazuri ya ex wake, mara zote tunapenda kujipaka rangi ya kuwa ulikuwa bora kuliko mwenzio na lawama kibao.

Tukijifunza kukubali kuwa wanadamu tuna kasoro na madhaifu (na kwamba na sis ni moja wa wanadamu hao), kutakuwa na hekima na busara kabla ya kulamu.

snowhite, I am humbled. Nashukuru pia Dearest.
 
Nani tena nkwela anataka kukusumbua?



 
Last edited by a moderator:
Awwwwwww ..What a nice msg!!!! Ukishukuru kwa kila jambo unakuwa na amani moyoni nami nasema 'thank you for having you it but I have to let you go'
 
Nani tena nkwela anataka kukusumbua?

kuna member anajiita C6 naona anakuja kwa staili ya kum-dis mai waifu ndo nisimshtukie anarusha mistari!


Nina hasira za kimasai mwambie..
 
Last edited by a moderator:
kuna member anajiita C6 naona anakuja kwa staili ya kum-dis mai waifu ndo nisimshtukie anarusha mistari!


Nina hasira za kimasai mwambie..


C6 shauri yake! Asitake kutuingiza ktk deni la kulipa ng'ombe zako na blanket zako!

Maana sisi hatumjui C6
 
Last edited by a moderator:
Nipo hapa kakangu.. Aisee... Hongera sana. Kitendo cha kumlainisha roho lara 1 hadi roho inadunda kwako linastahili pongezi. Nimefurahi sana! Best of Luck :cool2:

kila shetani na mbuyu wake, finally Lara she decide to be a woman not a gal anymore. i will introduce her officially to u.
 
Last edited by a moderator:
kila shetani na mbuyu wake, finally Lara she decide to be a woman not a gal anymore. i will introduce her officially to u.

Nasubiri kwa hamu Matola. Itabidi iwe dinner kabisa. :A S wink:
 

mmmmh am speechless, u made me think twice again thanks, though aliyenileta kwenye huu uzi ni snowhite my former wifi, wifi snow asante kunikumbuka na kuni-appreciate pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:

Umeongea the truth in a poetic way...thank you a lot
 
Reactions: RR


karibu sana....kuna mtu aliwahi sema kuna watu 7 billion why do you think you are special?
nikaona it make sense a lot....some people have pride na their pride inawafanya wajidanganye but wakiwa alone ukweli wanauona....
 
my lara 1 come this way ufanye appointment ya mtoko na wifi yako ili nifanye table reservation mapema.

kwa heshima ya Ashadii kwangu siwezi kumtambulisha kwako kienyejienyeji tu.
Naomba niwe host wa hii makitu tebo fo foo kwenye mghahawa wa faivu staa gharama zote juu yangu, naweka nadhiri wallah ................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…