hii ni pombe tu au na bangi?

hii ni pombe tu au na bangi?

HIVI BADO UNAKUMBUKAGA WALIVYOTESA HAO WASHIKAJI WA MBUGUNI Style?? Hasa enzi ya BAJA 250cc.
wacha kabisa....ile kipindi watz ndio walikuwa wanafaidi mali zao....

kweli chapa maskini kilevi asahau shida zake.

ila pombe sio nzuri wadau, imejaa hasara tupu bila faida

kweli chapa maskini kilevi asahau shida zake.

ila pombe sio nzuri wadau, imejaa hasara tupu bila faida
mwe..kuna kaka yangu mmoja yeye akiacha pombe basi hata pesa inamkimbia kabisa..mke wake ni mlokole lakini hata yeye mwenyewe amekubali kuwa jamaa akiacha pombe basi ngawira zinapotea sana tu

kweli chapa maskini kilevi asahau shida zake.

ila pombe sio nzuri wadau, imejaa hasara tupu bila faida

Heeee Vivian hujui sisi tunao fanya hao watumishi wafanye ufisadi hata rais wenu anazunguka kwa sababu sisi tunakunywa hela inarudi serikalini kama kodi vinginevyo asingekuwa anazunguka zunguka dunia kwa hela za migodi. Mi najisikia faraja hela yangu inamfanya rais azurule ulimwenguni bila mm asinge piga misele. Sisi ndo walipa kodi wakubwa nchi hii tukigoma kunywa rais wenu hawezi zunguka nje.

vivian bana,lakini tulikubaliana Wine sio pombe hahaha!

We, Alcohol %ge yake ni kubwa sana. kwani safari ina alcohol ngapi na St. Annah ina Ngapi?

mwe..kuna kaka yangu mmoja yeye akiacha pombe basi hata pesa inamkimbia kabisa..mke wake ni mlokole lakini hata yeye mwenyewe amekubali kuwa jamaa akiacha pombe basi ngawira zinapotea sana tu

Hii kajiwekea tu jamani, ila akitumia hela ndo anapata machungu ya kutafuta, Mbona asijifunze kuwa na machungu ya kutafuta hela hata kama hajazinywea Konyagi?

Heeee Vivian hujui sisi tunao fanya hao watumishi wafanye ufisadi hata rais wenu anazunguka kwa sababu sisi tunakunywa hela inarudi serikalini kama kodi vinginevyo asingekuwa anazunguka zunguka dunia kwa hela za migodi. Mi najisikia faraja hela yangu inamfanya rais azurule ulimwenguni bila mm asinge piga misele. Sisi ndo walipa kodi wakubwa nchi hii tukigoma kunywa rais wenu hawezi zunguka nje.

Yaani Fidel Unachangia sisiemu?

mwe

hapa kwa kina ikechuku!umeona brand ya ulabu!

View attachment 36586
attachment.php

mwe

Hawa wanakunywa banana tu...hakuna lolote..ingekuwa heineken, amstel au john walker black label waangecheza nayo kihivyo... Unategemea nini kama pombe yenyewe inauzwa Sh.50 kwa chupa na mtu kalewa wakati maji ya kuoga hakuna....

ulevi sio noma mmesahau TBL ndo inaogoza kwa kulipa kodi, hivyo ulevi ndo unajenga bara bara, ulevi unalipa mishahara ya watumishi wa umma, ulevi unalipa ada zenu vyuo vikuu, idumu pombe daima naomba heineken yangu ya baridi nilipe kodi

Nakuhakikishia walevi tukigoma kwa wiki moja, haka kauchimi ketu ni chali!!!!! Waache jamaa wepige kelele tu lakini haajui ni kiasi gani tunawabeba. Kwa kifupi" I know beer will change the world, I don't know how, but am sure it will"

shida ya maji TZ..
Oga, kunywa, pikia, mmhh
sante bia..

hao wanasaidia kuinua uchumi, si unajua walevi ndo wanaongoza kwa kulipa kodi kubwa katika nchi hii, tutapeleka hoja bunge linalokuja kuwa muda wa kufanya kazi upunguzwe na muda wa kupombeka uongezwe ili tuinue uchumi wetu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom