hii ni pombe tu au na bangi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii ni pombe tu au na bangi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Sep 6, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  297566_191609250908747_100001790204434_467720_771355_n.jpg [​IMG]
  mwe
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nawe umewatowa wapi hawa washikaji? Na mbona ni kama wanajimiminia lager? Kweli "ULEVI NOMAaaaaa" Na bila shaka WANYWAJI tunao humu JF! Lakini nimeendelea kuwareki na nikaona kama si wanakunywa lager ya TBL bali wanaonekana kama wanapata ile kinywaji rahisi kbs ya BANANA WIN na nasikiaga ni hatari sana kama haupo fit kiafya kwani unaweza hata kuvua nguo yote baada ya kunywa kwn yote uliyonayo iwe kimawazo na hata kufikiri inakuwa kama ni mzigo wa Taifa hili la TANZANIA iliyowachosha raia wake. KWELI ULEVI NOMAAAAAAAAaaaaaa!!!!
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hizi ni athazi za laga za bure,kuna dada mmoja kwenye harusi alikunywa 8 za haraka haraka alikuja kutapika utadhani mvua na kuchafua watu kwenye meza ile utadhani waliogeshwa na matope.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ulevi mwisho kuna mmoja baada ya Yanga kushinda Kagame Cup akaliosha gari lake la kijani kwa bia kama kreti 2 hahaha!
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Best nakwambia hakika ULEVI NI NOMAAAAAA!!!! Hasa ile ya BANANA WIN na bila ya kukosea ina makao makuu ARUSHA kule Kijenge na nahisi huyo Dada pamoja na ushindi aliweka Banana kadhaa kabla ya Mechi.
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ulevi sio noma mmesahau TBL ndo inaogoza kwa kulipa kodi, hivyo ulevi ndo unajenga bara bara, ulevi unalipa mishahara ya watumishi wa umma, ulevi unalipa ada zenu vyuo vikuu, idumu pombe daima naomba heineken yangu ya baridi nilipe kodi
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  lete tusker nilipe kodi....
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hiyo tunaita mbuguni style.....
   
 9. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmesahau GRANTS??
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  na unatumia line gani ya simu?vodakomu?
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  HIVI BADO UNAKUMBUKAGA WALIVYOTESA HAO WASHIKAJI WA MBUGUNI Style?? Hasa enzi ya BAJA 250cc.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mbona jamaa wa nyuma kama anataka 'kumpanda' huyo wa mbele, beberu style?
  Safri laga za moto na bange yenye mbegu nyingi!
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Iddi Mosi hiyo.
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Swali lako limekaa kimtego teh! teh! lakini nikujibu mdogo wangu Preta anatumia Airtel wanaolipa kodi.
   
 15. FIDA

  FIDA Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  imekaa poa wacha wafanye maisha japo kwa dakika
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  hahah Uporoto bwana.. sina nia ya kumtega dada yetu aisee
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  nitakudip....
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haya mambo ya pesa za udalali au machimbo huwa haziumii haijalishi umeisotea kwa muda gani.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  sasa thawabuu zote za mfungo si zinaishia hapo
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza nakuja Arusha huko....simu yangu ukibeep tu inajipokea direct
   
Loading...