Nipo juction pub au ------ bar! Ktk research yangu, Nilichogungua kwanza cha kwanza Owner wa hii pub ni kama jina la pub yake, ukiwa na vitz ukimpakia kesho ukanunue shock up mpya! Sijui kama na yeye atakubari kupanda! Pili wahudumu wana njaa sana, Tatu ukiwa hapa simu kupokea mpaka toilet au barabarani muziki uko juu sana japo watu wanaangalia mpira, mwisho huwezi kukaa na mtu wako unaemheshimu.
Ndugu yangu amavubi naomba tukutane hapa makalio baa tubadilishane mawazo unenikuna sana nahiyo camera yako. Yani wewe camera inakamata kwa siri kuliko yangu.
Hahahha, wanaume jamani huko Makalio Bara kutafanya msahau akina shemeji nyumbani. Maana hii midundiko sio mchezo. Mwenye baa hii ni mbunifu kwelikweli