cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
Ni hatari sana wanaume wanfanya wanawake tufanye vitu vya ajabuYes. Huwa wanajidanganya tu. Halaf ni risky, vibinti vinavyologaga ndo akaingia hapo akakuta mchupi wako akakuloge kwa waganga huko mbona balaa. Yaan nikue hapa ndo napolala na wewe halaf nojue kuna mwingine ameingia hapo? Tutagawana chagga.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app