Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

Yes. Huwa wanajidanganya tu. Halaf ni risky, vibinti vinavyologaga ndo akaingia hapo akakuta mchupi wako akakuloge kwa waganga huko mbona balaa. Yaan nikue hapa ndo napolala na wewe halaf nojue kuna mwingine ameingia hapo? Tutagawana chagga.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni hatari sana wanaume wanfanya wanawake tufanye vitu vya ajabu
 
Simple, sema kwa maisha yetu ya bongo humo bado kutawekwa, Ndoo ya chooni, fagio, mtungi wa gesi, subwoofer ya seapiano ( kubwaaa), viatu tunatupa tu uvunguni, nguo ukutani,
 
Hapa hakuna jibu moja aisee. Kuna wengine hapo ndo tumefika, Mungu atupe nini. Wengine ndo hivyo, hapo ni stoo. Wengi wetu kwa kukosa exposure na life letu la kijiji, hapo ni paradise. Ilimradi tu watu tunatofautiana, iwe kwa sababu za kimazingira ama vinginevyo.
Hapo watu wawili hawapishani😅😅
 
...nikiishi humu kigetto getto namaliza mambo yote kwa mama ntilie, nikija ni kupumzika tu. Kupika kupika jau
 
Aisee..
Haya maisha ya mwanzoni na landlord wa kihindi...
Ukikaa mwaka tu anakuongezea kodi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom