Hii ni nini wandugu???

Pole kaka
Dawa yake ni mazoezi tu,anza kukimbia asubuhi na jioni,kula asali,2spoons,1spoon mdalasini,changanya asali na mdalasini,then weka maji moto kikombe kimoja.after 1-2weeks kutakuwa na changes.
ukiona bado nenda pharmacy naskia kuna dawa inatibu Erecto disfunctions,ni kama hedex ya Kipara,ila sijui side effects zikoje,uliza maswali ya kutosha kwa pharmacist .
Else ukiona asali ,mazoezi dawa vyote havifanyi kazi,
Tafuta mlupo utest kama kitu kinafanya kazi,then utajua tatizo sio lako tatizo ni hyo shem wetu.
Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
 
Pole sana..... inawezekana huyo jamaa anakuepusha na mengi si lazima kaka kudooo. ila nakushauri uache p.u.n.y.e.t.o huwa inaleta madhara kama hayo
 
Jitahidi sana Mkuu upate muda! i will appreciate Pal.

MISOSI MI SI DR.WALA NESI ILA NAWEZA KUKWAMBIA YAFUATAYO:
  1. KAMA UNAWEZA,PUNGUZA KUKUTANA NA HUYU MANZI WAKO MARA KWA MARA KWA SASA KWA SABABU
  • Nahisi una tatizo la saikolojia na si maumbile na inahitaji ujipe muda kwa sababu ukiendelea kukutana nae mara kwa mara inakupa ugumu wa wewe kusahau tatizo ulilonalo
  • mara ya mwanzo ulipotokewa na hiyo hali ni kwa sababu ulikuwa umevuta hisia,mpaka ulipokuja wakati wa kufanya tendo hisia za mapenzi(sex drive ) ilikuwa imepungua kutokana na kuwa kwanza inaonekana umemzoea manzi wako,pili kama sikosei ulikuwa umefululiza kufanya sana mapenzi na tatu mazingira mliyokuwepo ni mazingira fulani yuliyoyaoea kwa hiyo kwako hakukuwa na jipya.
  • mara ya pili tatizo lilijitokeza(recurence) kwa sababu tayari ulikuwa umeshajenga tarajio la kile kilichotokea awali,hili bayana ni saikolojia na si erection dysfunction (nguvu za kiume).
  • Mara zingine tztizo hili linaendelea kukua kwa sababu ya kujenga hofu kuwa yawezekana una matatizo katika mfumo mzima wa nguvu za kiume.
2. KWA POINTI HIZO HAPO JUU NAKUSHAURI YAFUATAYO
Sitisha kukutana na huyu manzi ki mwili,kama nilivyoshauri hapo.
Jipe muda hata wk 2,angalia upande wako wa mahusiano kama una tatizo la kufanya comparison(kulinganisha) kati ya uwezo wa manzi wako na mamanzi wengine kama ulishakuwa nao pia linaweza kuwa ni chanzo cha kupungukiwa na sex drive maaana unamuona wa kawaida saana.
Punguza mawazo juu ya uwezo wako wa kufanya mapenzi,maana najua kwa wanaume wengi hali hii huwapa wakati mgumu sana.
jaribu Kula sex diet na ufanye mazoezi mepesi,hii itakuondolea stresses na vimawazo vidogo vidogo.
Kingine usifikirie saana juu ya kufanya mapenzi maana pia yawezekana ikakufanya uwe unakumbuka kilichotokea na ikakuongezea msongo wa mawazo.
Kama unahitaji ushauri zaidi ni pm na details za umri wako na mazingira unayoishi(social life) kuwa mkweli naweza nikaja na more objective reasoning.
Ukweli ni kuwa tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi kuliko ki maumbile.
Ahsante mkuu
 
Pole sana..... inawezekana huyo jamaa anakuepusha na mengi si lazima kaka kudooo. ila nakushauri uache p.u.n.y.e.t.o huwa inaleta madhara kama hayo

Mama Big usidhalilishe fani za watu,wakikusikia shauri yako maana kuna watu wana do nyeto mara tatu mpaka nne kwa siku na wakipata mchuchu ni moto chini mpaka mchuchu anajiuliza huyu ni binadamu au punda.Sisemi tena:tape::tape::tape::tape:.
 
Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
Inaweza huyo demu wako anachonga sana, maana kama demu mchongaji sana huwa anakupoteze steam. Hasa akianza kuchonga wakati mnataka kufanya tendo
 
mista misosi,,,,,,,usisumbuuke saana huyo demu yaelekea ana mambo yake mengine zaidi yako wewe yaani atakuwa na jamaa mwingine na huyo jamaa ndo anakuchezea huo mchezo............yaani utafanya kila kitu lakini kumla hutomla........kuna mademu wengine kuwatomba lazima upitishe jani bichi la mgomba kwenye bakuli lake na laiti kama ukilipitisha likasinyaa lile jani basi huyo demu achana nae cuz ukiforce kumla yawezekana mashine isisimame au ukapatwa na ugongwa wa ajabu.............wanawake wengi sio waaminifu nowadays so guys lets be careful with these girls we choose................ishamtokeaga my friend kitu hicho hicho na tukaja kumtafuta jamaa and he told us everything..............pole sana kaka
 
una mawazo yoyote? au kuna kitu kinakusumbua akilini mwako?....check that first
Mwambie ajaribu viagra kwanza kabla ya kwenda kwa madaktari unoko..................kama mwendo ni mdundo basi ajue apunguze uzito............apunguze misosi yenye mafuta mafuta...........................na adunde mazoezi ya kutosha halafu majambos yatakuwa swafi.........mwanaumme wa kawaida hata kama akiwa na mawazo kama demu amempenda mawazo hupotea na hurudi baada ya kupandishwa milima ya uluguru na kuachwa huko akuzubaa zubaa........................
 
May be huko ndani kwa mpenzio si..... ukikumbuka tuu unasinyaa.
 
1.INAONYESHA MAPENZI YAMEPUNGUA KWAKE.
2.MUULIZE VIZURI JE NI MKE WA MTU?
3.KABLA YA MECHI PUMNZIKA,MAZOEZI, KAZI NGUMU PUNGUZA.
4.USISAHAU KUTUMIA ILE SEX DIET
5. ASUBUHI PIGA CHAI YA UHAKIKA,MCHANA SHIBA SANA JIONI PIA SHINDILIA KIUHAKIKA..POTELEA MBALI UVIMBIWE,JIONI UKIINGIA ULINGOZI UTASHINDWA KUMTULIZA.....ABDALA KICHWA WAZI
6.MALARIA,PRESSURE......HUSABABISHA HAYO,YULE JAMAA HUWA ANAJAA DAMU ZAIDI KULIKO INAVYOPUNGUA...KWA AJILI HIYO,KUKIWA NA MATATIZO YA USUKUMAJI WA DAMU.........ATALALA GHAFLA
7.UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA.
8.Naaaaa aaah yanatosha hayo...NILIKUWEPO.
nitaenda kufanyia majaribio hiyo siku nikiona dose inazidi!!!
 
pole sana.. ila blow job inasaidia ukiona jamaa anasinyaa.. pia punguza kuzama chumvini, kunakufanya hamu yote iishe, na mwisho punguza kuonana naye "sometimes distance is the best medicine" yasipowezekana yote! VIAGRA! usitumie dawa ya mchina utajuta!:doh:
 
Duh! Mkuu hii ndiyo nasikia! pengine labda ina ukweli! na vipi je akiwa amesuka mabutu na kuyafunga vishungi shungi hivi?????


Cheki pia kwenye hayo mabutu kuona kama amechomeka kijiti au pini.
MUHIMU: Habari hizi hazijathibitishwa kisayansi lakini kuna watu wametokewa na hali kama hiyo.
 
Cheki pia kwenye hayo mabutu kuona kama amechomeka kijiti au pini.
MUHIMU: Habari hizi hazijathibitishwa kisayansi lakini kuna watu wametokewa na hali kama hiyo.
Nashukuru mkuu, ntafanya uchunguzi.
 
Back
Top Bottom