Hii ni nini wandugu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni nini wandugu???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Misosi, Oct 31, 2010.

 1. M

  Misosi Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  una mawazo yoyote? au kuna kitu kinakusumbua akilini mwako?....check that first
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Loh! Pole sana aisee
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Oyaa kura umepiga lakini?
   
 5. M

  Misosi Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Siwezi sema nina mawazo! mara ya kwanza ilinitokea tukiwa tumekwenda safari kidogo na pia tulielekea ufukweni tukacheza sana kisha jioni ikatokea hali hii na kwa juzi kidogo tulipishana kauli lakini ilikuwa asubuhi na hadi muda twakutana ilikuwa ni late evening. Cha ajabu ni kuwa jamaa anadumu sana tu! ila ndiyo hivyo ikikaribia kuzama tu anasinyaa na hata nijitahidi vuta hisia sifanikiwi! nashukuru kwa ushauri mkuu
   
 6. M

  Misosi Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru Mkuu
   
 7. M

  Misosi Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Hahahahaha! nimepiga Malafyale! hiyo tena HAKI yangu ya msingi!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  kama si kawaida yako lazima kuna tatizo....umeshacheki na daktari?
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  ukiwa unafikiria maisha ngono huwa haipandi, tafuta pesa mkuu
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Acha ulevi

  Acha kula machips mayai

  kura karanga, samaki, matunda, mihogo, kunywa maziwa.
   
 11. M

  Misosi Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Hapana bado sijamcheki daktari mkuu, ntajitahidi nikamuone soon! lakini hivi ni kweli ukiwa na mawazo au kitu kinakusumbua hii hali ikakutokea kihivyo?? nilidhani labda isingewezekana kabisa hata kudumu!!!
   
 12. M

  Misosi Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru kwa wazo pia mkuu, lakini mkuu si tunatafuta hiyo pesa ili tuitumie / tuenjoy! na hii ni namna kubwa ya kuenjoy na umpendaye!!
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mara nyingi sana kama akili haijatulia hili huwa linatokea, hata kwa wanawake is the same.....katika utendaji wa tendo hilo inatakiwa mawazo yawe hapo, zaidi ya hapo ni matatizo
   
 14. M

  Misosi Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru mkuu, ingawa sinywi pombe wala sili chips mayai! ntafanyia kazi penye red.
   
 15. M

  Misosi Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru sana kwa mawazo mkuu, ntafanyia kazi hilo. unajua tena hii life yetu pengine huwa nafanya kosa la kutokutuliza mawazo ktk hili. AHSANTE SANA.
   
 16. T

  Tall JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.INAONYESHA MAPENZI YAMEPUNGUA KWAKE.
  2.MUULIZE VIZURI JE NI MKE WA MTU?
  3.KABLA YA MECHI PUMNZIKA,MAZOEZI, KAZI NGUMU PUNGUZA.
  4.USISAHAU KUTUMIA ILE SEX DIET
  5. ASUBUHI PIGA CHAI YA UHAKIKA,MCHANA SHIBA SANA JIONI PIA SHINDILIA KIUHAKIKA..POTELEA MBALI UVIMBIWE,JIONI UKIINGIA ULINGOZI UTASHINDWA KUMTULIZA.....ABDALA KICHWA WAZI
  6.MALARIA,PRESSURE......HUSABABISHA HAYO,YULE JAMAA HUWA ANAJAA DAMU ZAIDI KULIKO INAVYOPUNGUA...KWA AJILI HIYO,KUKIWA NA MATATIZO YA USUKUMAJI WA DAMU.........ATALALA GHAFLA
  7.UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA.
  8.Naaaaa aaah yanatosha hayo...NILIKUWEPO.
   
 17. M

  Misosi Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru mkuu, kwingine kote nimekuelewa ila penye red umeniacha gizani?? unamaanisha nini??
   
 18. T

  Tall JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hujaelewa nini? .......ok.iache hiyo point,usije ukalikoroga, nitaku pm nikipata muda.
   
 19. M

  Misosi Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Jitahidi sana Mkuu upate muda! i will appreciate Pal.
   
 20. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,550
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Misosi inaonekana kimwili uko na demu wako lakini kihisia haupo... wala usione kuwa unatatizo, wewe kwa kipindi hicho chana na hilo wazo la ku do, mwili na akili yako ikitaka utadumu zaidi na mwenzio atafurahi.. kinachotokea hapo ni wewe na yeye kuanza kujitia wasi wasi na kuleta tabu kwenye uhusioano wenu.. mwambie tu hujisikii .
  Si lazima ku do!! mnaweza Chill to!
   
Loading...