Dortmund alikiona janaUchambuzi tayari..
Nakubaliana na wewe, ila bila kuuzungumzia mfumo wao wa defense na pattern nzima ya timu, bado haitoshi. Jamaa hata eneo la ulinzi lina shape nzuri. Kushambulia pekee haitoshi. Wanafanya hivyo kwakuwa tayari wanajua kama watapoteza mpira wakati wa attacking watazuiaje wapinzani wasiwadhuru.
N.B: ili uamini umewashinda hawa jamaa ni hadi usikie filimbi ya mwisho. Bila hivyo ni baaaadooo
Wale wajomba hawafai hata kidogoDortmund alikiona jana
Jamaa wanaenda kumi wanarudi kumi... Hatari sana... Ni kama nyuki