Newzealand360
Member
- Aug 10, 2022
- 88
- 122
Namba 21
NDOA NI UBINAFSISasa nisipo oa, madiko diko nitayapata wapi?
Nilipataga ajari unadhani aliniuguza nani?
Mind you zaidi ya miezi sita nilikuwa kitandani na mke ndiye aliyeniuguza na sio mama mzazi
Watoto watakuwa haramu na sitakuwa na sauti nao kivile.
Acha kuota ndoto, amka toka usingizini