Hii ni laana au kuna mkono wa mtu

Hii ni laana au kuna mkono wa mtu

duh pole kunaweza kuwa ni mitihani na kunaweza kuwa pia ni mikono ya watu,but jinsi ya kudeal nao unaweza ukawapoteza watu wa muhimu sana upande wako so choice is yours
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Yaani nitoe mahari mara ya pili? Nipo tayari kufa kiafisa na tai shingoni.

Ila Kuna kitu nimejifunza niweke usomi niludi Kijijini kisiju kwa wazee
Wa ukae rudi kwa wazazi/wakwe zako muongee. Bado Wana kinyongo jaribu muyaongee myamalize. Jishushe tu. Mengine ni mipango ya Mungu usiwaze au kuhukumu.

Pole Sana kwa masaibu.
 
Wa ukae rudi kwa wazazi/wakwe zako muongee. Bado Wana kinyongo jaribu muyaongee myamalize. Jishushe tu. Mengine ni mipango ya Mungu usiwaze au kuhukumu.

Pole Sana kwa masaibu.
Asante wa ukae, nitalifanyia kazi
 
Inaendelea...............
Basi baada ya mtoto wa pili, taratibu za ndoa zikaanza baada ya yeye kurudi toka Dar alikoenda kusalimia na kupeleka mtoto.

Na kama nilivyowadokeza wazazi wake hawakuwa radhi basi ikabidi mipango ifanyike kwa Babu na Bibi yake.

Kwa hyo mwanangu ulijiona mjanja kuoa mtoto wa watu bila ruhusa eeh????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna rangi utaacha ona nakwambia..cha msingi mkimbilie Yesu tu akulinde na hayo mauchawi ya wazaramo
 
Mimi na yesu mbalimbali na siamini kama alikuwa Mungu ila ninachojua ni nabii
 
Mkeo hana kosa nendeni ukweni kwako kawaombe radhi wazazi wa Binti kwa kuwakosea. Huenda milango ya baraka ikafunguka
 
Hamna laana hapo, Wewe ni mtoto wa kiume kaza.., hayo yote yaliyotokea kwako binadamu wote hutupata ni sehemu tu ya maisha, Hongera sana kwa huyo mkeo umeona yanayokupata na alivyotulia na ww? maana yake hamna ''second hand'' hapo, Wanaume tumeumbiwa magumu na maana halisi ya uanaume ni ya kuyashinda, kuyashinda haimaanishi kuzuia vifo au kuzuia ajali ni uwezo wa kusimama kidete pindi magumu yanapokusonga na kuyatatua yale uyawezayo 💪💪, Simama na Mungu wako maan!✊
Hata waliopata radhi za pande zote mbili wanafiwa, wanapata ajali na wanakuwa na changamoto kedekede, sasa nenda kajishushe au umuache huyo mkeo na bado mauzauza yaendeleee😄😄 utajiona mjinga mara mia.
 
Mimi na yesu mbalimbali na siamini kama alikuwa Mungu ila ninachojua ni nabii
Mkuu Anza kumwamini MUNGU kuna mabadiliko utayaona
Mwenyewe sikuamini sana uchawi mpaka nafikia 28+yrs ndipo nilipojiingiza kimahusiano na binti mmoja Ile kuchomoka nilichomoka na mengi nikawa muumini mzuri tu na nilifinguliwa macho na ubongo na hatimaye nilihamia sehemu nyingine na unafuu ninauona
MUELEZEE MUNGU SHIDA ZAKO ATAKUFINGULIA NJIA
 
pole sana kaka, story ya maisha yako inakaribia kuendana na yangu, nitaprove baada ya kuingia ndoani hv karibuni.
zaidi, tambua kuwa ulimwengu wa giza upo, rudi ibadani bado hujachelewa.
ndoa ni mwanzo wa vita kamili.
 
Back
Top Bottom