Alafu ukute sio muelewa.. Ndo utadata.....Yaaani hii mada kama umenigusa mimi, yaani wa kwangu huwa anapenda kila siku lazima tuongee kwenye simu, tuchat, sasa muda mwingine unakuta mtu umechoka lakini ukimweleza utasikia umepata mwingine ndio maana hunijali, wakati sio kweli.
Tumejaa mbonaWametoweka kama dinasours
sentesi ya mwisho nimeipenda![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] "missed call 22, umeua betrii yangu unaweza kuniua hata mimi, Tuache tu!Mateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
halafu huyo hakuwa binti, ni mwanaume huyo!!Mateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Safi sana..Basi tafuta swimming costume kabisa..Mana nakupeleka ukaogelee kwenye bahari ya biereeNipo saloon bebe wikiend hii na hamu na bieree
Safi sana..Basi tafuta swimming costume kabisa..Mana nakupeleka ukaogelee kwenye bahari ya bieree
hata mi nashangaa, zimekuwa nyingilin Am sorry... Hizo comment zinatokea automaticaly... Mods hebu shughulikieni hiko kitu Cc. JamiiForums
comments zimenipenda tehe tehe teheItapendeza kama mtabadilika