Hii ni kweli au imani tu??

we ilijuaje kuwa kakayako aliangukiwa?, na kama kweli aliangukiwa unajuaje kuwa hakupewa tiba?, nasikiaga mtoto akiangukiwa nakitovu inabidi aingize ka bamia kwenye kitumbua cha mama.....................

Mhhh!
 
Tuanzie hapo sasa ili tujue kuna nini kimefichika katika hizi imani zetu
Kweli kabisa inatakiwa ifanyike research ili tuweze kujua ukweli wa hizi imani..........
 
we ilijuaje kuwa kakayako aliangukiwa?, na kama kweli aliangukiwa unajuaje kuwa hakupewa tiba?, nasikiaga mtoto akiangukiwa nakitovu inabidi aingize ka bamia kwenye kitumbua cha mama.....................

Twende nazo hivyohivyo inawezekana kuna ukweli ndani yake.

Kama nilivyosema hapo juu kama hazina madhara, hata kama si za kweli tuzifanye tu kuwaridhisha wazazi na walezi wetu.., ila kama zina madhara kama hapo juu mambo ya kitumbua.... aaahrrrghh hapo itabidi tuwe careful kitovu kisianguke pasipo ili tusifike kwenye mjadala nini kifanyike.
 
Eti inasemekana mtoto wakati wa kukatwa kitovu kikiangukia katikati ya mapaja basi kama ni mvulana akikuwa atakuwa shosti, na msichana atakosa uzazi?

kumbe inasemekana bac hyo ki2 haipo m2 wangu katavi ila poa ucpende kuamin ya nayosemekana japo kwa mbal sana yana ukwel
 
Hizo ni imani tu! Ni sawa na ule usemi wazamani eti ukikuta watu wamekaa halafu wewe ukawa umesimama eti unawanyonya damu!
 
Tusiwe wabishi sana na kupinga imani za wazee wetu, mengi tuyasemayo kama imani potofu kwa kuwa tu sisi ni wasomi ukweli ni kuwa yana maana sana! Mimi nilikuwa napinga sana imani ya mama akiwa mjamzito kukataliwa kula mayai kwa kuwa atajifungua mtoto asiyekuwa na nywele, nilipofuatilia sana jambo hili niligundua sababu kubwa ni kuwa walikuwa wanachelea mtoto asiwe mkubwa sana akiwa tumboni hivyo kupelekea matatizo kwa mama wakati wa kujifungua! so lisemwalo lipo!
 
Mbona unajichanganya mkuu, kumbe kwa mbali yana ukweli kwa hiyo si ya kupuuza.
 
Hizo ni imani tu! Ni sawa na ule usemi wazamani eti ukikuta watu wamekaa halafu wewe ukawa umesimama eti unawanyonya damu!
Lakini hii ishu ya kitovu ina mambo mengi ambayo yanachukuliwa kwa umakini
kamaWengi hapo juu walivyoelezea.
 
Tusiwe wabishi sana na kupinga imani za wazee wetu, mengi tuyasemayo kama imani potofu kwa kuwa tu sisi ni wasomi ukweli ni kuwa yana maana sana! Mimi nilikuwa napinga sana imani ya mama akiwa mjamzito kukataliwa kula mayai kwa kuwa atajifungua mtoto asiyekuwa na nywele, nilipofuatilia sana jambo hili niligundua sababu kubwa ni kuwa walikuwa wanachelea mtoto asiwe mkubwa sana akiwa tumboni hivyo kupelekea matatizo kwa mama wakati wa kujifungua! so lisemwalo lipo!
Kweli kabisa haya si ya kupuuza hata kidogo.
 
Hizi imani you need to be a Great Thinker kuona what was the logic behind it! ukitafsiri moja kwa moja kama zisemwavyo unaweza ishia kumake a wwrong conlusion na kuziona kuwa hazina maana! mfano hiyo ya wenzio wote wakiwa wamekaa nawe ukasimama pekee yako, utakuwa unawanyonya wenzio damu, ni wazi si kweli kuwa ukisimama miongoni mwa wenzio waliokaa utakuwa unawanyonya damu, lakini sasa fikiria kwa upande wa ustaarabu tu wa kawaida, hivi inapendeza kweli wenzio wote wamekaa wakipiga gumzo nawe pekee tu usimame! ni nadhani ile ilikuwa ni njia ya kuwafunza watu kuwa wastaarabu wakati wa maongezi. leo hii Tanzania tunajivunia kuwa na maliasili nyingi,mnafikri wazee wetu waliitunzaje, kwa kiasi kikubwa ni kwa hizi hizi leo tunaita imani potofu, maana wao walikuwa na miiko yao, mfano usikate mti katika msitu fulani maana ni evil forest, au usiuwe ndege au mnyama fualni utapata madhara fulani! na kwa imani hizo hizo maliasili ilitunzwa nasi tunafaidi leo hii. haya sasa ona usomi wetu unapotupeleka, si hatuamini hizo imani, sasa kila msitu unachanwa mbao, kila mnyama anawindwa! we need to thing of these so called imani potofu beyong nose distance! zina maana na mafunzo makubwa hizi!
 
Uko sawa kabisa Kilembwe, me nadhani pia tuangalie na faida za hizi mila sio tunaimbishwa tu eti ni mila potofu, wakati zipo nyingi tu zenye maana.
 
....Siioni connection kati ya kudondoka kwa kitovu mapajani na kufeli kwa nguvu za uzazi....
 
Hakuna connection, lakini kwa nini kitovu kinapewa umakini sana, mara kihifidhiwe hadi kikauke, mara kichimbiwe ardhini...
 
Back
Top Bottom