Imani ni kuwa na uhakika

Machepele

JF-Expert Member
Jun 28, 2019
289
420
Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo na yasiyokuwa baya.

Kila usiku tunalala bila uhakikisho wowote wa kuwa hai asubuhi iliyofuata, lakini bado tunaweka alarms ili kuamka. Hayo ni matumaini.

Wakati fulani wanakijiji wote waliamua kuomba mvua. Siku ya maombi, watu wote walikusanyika, lakini ni mvulana mmoja tu alikuja na mwavuli. Hiyo ndiyo imani.

Unapotupa watoto hewani, wanacheka kwa sababu wanajua utawakamata. Huo ni uaminifu.

Tunapanga mambo makubwa kwa ajili ya kesho licha ya kwamba hatujui yajayo. Huko ni kujiamini.

Tunaona ulimwengu ukiteseka, lakini bado, tunaoa/kuolewa na kupata watoto. Huo ni upendo.

Kwenye shati la mzee iliandikwa sentensi "Sina umri wa miaka 80; mimi ni mtamu miaka 16 na uzoefu wa miaka 64." Huo ni mtazamo

Tuendelee kuishi. Mimi bado ninaishi.

Machepele, kwa sasa Mwanza upepo ya Victoria unanipuliza.
 
Ujumbe murua
 
Sina uhakika pia kama tukilala tunaamini kwamba kesho hatutoiona coz turakufa
 
Neno "imani" na neno "uhakika" haviwezi kukaa kwenye sentensi moja.
 
Back
Top Bottom