Hii ni kwanini tunashauliwa tuwe na imani...๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

Hii ni kwanini tunashauliwa tuwe na imani...๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
40602663_333757967368270_1824844591398257832_n.jpg
 
Jibu ni 1


Magazijuto, tunafungua mabano kwanza

-tutazidisha 2 ya nje ya mabano kwa kila namba ambayo iko kwenye mabano,

-itakua hivi

6/2(2+1)

soln.

6/(2*2+2*1)

=6/(4+2)

=6/6

=1

NB: o level nina D ya mathematics.
 
Jibu ni 1


Magazijuto, tunafungua mabano kwanza

-tutazidisha 2 ya nje ya mabano kwa kila namba ambayo iko kwenye mabano,

-itakua hivi

6/2(2+1)

soln.

6/(2*2+2*1)

=6/(4+2)

=6/6

=1

NB: o level nina D ya mathematics.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
6รท2(2+1)
Soln
formular MAGAZIJUTO
Tunaanza na mabano
2+1=3
mabano yanasimama badala ya zidisha
kwaiyo itakua
6รท2ร—3

Tunafuata na gawanya
6รท2=3
kwaiyo hesabu yetu itakua
3ร—3

Kwaiyo jibu = 9
 
6รท2(2+1)
Soln
formular MAGAZIJUTO
Tunaanza na mabano
2+1=3
mabano yanasimama badala ya zidisha
kwaiyo itakua
6รท2ร—3

Tunafuata na gawanya
6รท2=3
kwaiyo hesabu yetu itakua
3ร—3

Kwaiyo jibu = 9
mabano unafungua kwa kuchukua namba ya nje kwa kuzidisha na zilizopo ndani, itakuwaje uanze kujumlisha kabla ya kuzidisha? kumbuka BODMAS mkuu
 
6รท2(2+1)
Hiyo 2+1 kwenye mabano ni sawa na 3.kwahiyo hio hesabu ni sawa na kuiandika hivi
6รท2(3)
Baada ya hapo unafungua mabano kwa kuzidisha mbili na tatu
2ร—3=6.
unapata 6.
Halafu unagawanya sita gawanya kwa sita
6รท6=1
Jibu ni moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom