Hii ni kwanini tunashauliwa tuwe na imani...๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

6รท2(2+1)
Apply
BODMAS
where
B=bracket ( )
O=off ) (
D=divide รท
M=multiplyร—
A=addition +
S=substract -

therefore
6รท2(2+1)
6รท2(3)
6รท2ร—3
6รท6
=1

peterchoka
6รท2ร—3
MA tayari tunaenda kwenye GA ambapo nitagawanya sita gawa mbili nitapata tatu na itasomeka 3ร—3, kisha tutaenda na ZI
 
Lazima tuimalize namba zilizotengeneza mabano mpaka ziwe zinajitegemea

Mfano
2ร—4(5ร—2)
2ร—4(10)
2ร—4ร—10
2ร—40
=80.

Au

5+2(3ร—5}รท6-4(6-1)
5+2(15)รท6-(5)
5+30รท(-30)
5+30รท -30
5-1
=4
 
Mmh
 
6รท2(2+1)
Apply
BODMAS
where
B=bracket ( )
O=off ) (
D=divide รท
M=multiplyร—
A=addition +
S=substract -

therefore
6รท2(2+1)
6รท2(3)
6รท2ร—3
6รท6
=1

peterchoka
6รท2ร—3 kwa kufuata kanuni yako jibu ni 9 na wala sio moja mkuu
mana lazma uanze na gawanya alaf umalizie zidisha
NB kuua mabano ktk hesab inamaanisha kuzishughulikia namba zilizopo ndani yake na ukimaliza apo nyuma ya ayo mabano kunawekwa zidisha na mwishoni kanuni inaendelea kama kawaida
 
Kwa lugha nyingine ambayo in rahisi

6รท2(2+1)
6รท2(3)
Tunaiingiza mbili ndani ya mabano kwa tendo la kuzidisha
6รท6
=1
 
6รท2ร—3 kwa kufuata kanuni yako jibu ni 9 na wala sio moja mkuu
mana lazma uanze na gawanya alaf umalizie zidisha
NB kuua mabano ktk hesab inamaanisha kuzishughulikia namba zilizopo ndani yake na ukimaliza apo nyuma ya ayo mabano kunawekwa zidisha na mwishoni kanuni inaendelea kama kawaida
I'm simply surprised as to how many people have wrongly answered 9. Even the wiki answer is 9!!!

A little more attention paid in your math classes would have helped you answer this simple question.

When the bracket function is used, all operations related to the bracket are to be performed first. Only then can you move to the division, multiplication, etc.

So, 6รท2(1+2)

= 6รท2(3)

= 6รท6

= 1

See? Easy! I'm amazed at how many people got this wrong. Math basics are not being taught right these days.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom