Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,052
- 137,847
Tatizo msidanganywa hamuona rahaAu anakwambia I wish ningekutana na wewe kabla sijaoa☺️... ila wanaume😂😂😂😂🙌
Tatizo msidanganywa hamuona rahaAu anakwambia I wish ningekutana na wewe kabla sijaoa☺️... ila wanaume😂😂😂😂🙌
Leejay49 vipi mbona story haupost episode, watu tumeshakua na arostoUkiambiwa niko pale kwajili ya watoto kimbia tena usigeuke nyuma😃😃
Ile imefutwa my friend,,, nadhani itabidi nianze kupost upya.. nikiweka nitakutag wa kwanza mkuuLeejay49 vipi mbona story haupost episode, watu tumeshakua na arosto
Si ndo mitego yenu😂😂Tatizo msidanganywa hamuona raha
Asante sana dear! WaitingIle imefutwa my friend,,, nadhani itabidi nianze kupost upya.. nikiweka nitakutag wa kwanza mkuu
Uongo upi tena wakati mtu anafunguka ya moyoni mwake?[emoji1787]Waongoo sana
Bora sie waongo towards women, nyie ni waongo towards urselfWaongoo sana
Sasa unaweka saa ngapi ebu twende ukaweke acha kushinda shinda hukuIle imefutwa my friend,,, nadhani itabidi nianze kupost upya.. nikiweka nitakutag wa kwanza mkuu
Yaani nikiingia nikikuta upo busy huku napata hasira [emoji23] na mods kwa nini walifuta we twende ukapost tu tuliishia bibi anamzika bamdogo hata sijui ilikuwa episode ya ngapiYani da Shunie huniachi nikitulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]... hivi tuliishia episode ya ngapi?
Nadhani ya9, au nikupostie hapahapa kuanzia ya kumi😃Yaani nikiingia nikikuta upo busy huku napata hasira [emoji23] na mods kwa nini walifuta we twende ukapost tu tuliishia bibi anamzika bamdogo hata sijui ilikuwa episode ya ngapi
Nini elezea umeoa tayari hongera sanaBora sie waongo towards women, nyie ni waongo towards urself
Mie nananiTayari umesha umizwa unaona..
Hapana twende entertainment ukaipost yote ebu twende sasa hiviNadhani ya9, au nikupostie hapahapa kuanzia ya kumi[emoji2]
😂keKwani hili mnawaambia Ke wenzenu au Me?
Mpenxii i miss u twende basi kwenu nikakamilishe undugu au tuanze kwetuKwahyo na Wewe unajiunga na wale wanaisema "KATAA NDOA"