Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja .
Atakuletea shida sana kabisa mpaka ujione umekuja kimakosa duniani. Kuwa tu na mtu wako mpya ambaye hajui ndoa nini .
Ni maoni yangu
Atakuletea shida sana kabisa mpaka ujione umekuja kimakosa duniani. Kuwa tu na mtu wako mpya ambaye hajui ndoa nini .
Ni maoni yangu