Hii ni kwa wote mnaokwenda diploma 2017/2018

Bangi anazovuta huyu jamaa sio za tanzania kwa kweeli.... yaaani anatuaminisha sisi kumuamin yeye na si nacte.

Duh
 
Ndugu zangu kuweni wapole vyuo vitawasiliana nanyi kuwapa taarifa juu ya kuchaguliwa kwenu.Zoezi hilo litafanyika mwezi wa kumi hiyo habari ya nacte kuwaambia masomo yanaanza tarehe 25/9/2017 ni propaganda tu.
Zikitoka za Chuo chchte tujuulishane
 
hiv mpwapwa tc hakuna mwenye taarfa yeyote maana wapo kimya mno au mwenye joinng ya mpwapwa ani2mie.....Assist plz
 
Back
Top Bottom