Hii ni kwa wote mnaokwenda diploma 2017/2018

Hii ni kwa wote mnaokwenda diploma 2017/2018

Guantanamo Sobibor

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
897
Reaction score
1,133
Ndugu zangu kuweni wapole vyuo vitawasiliana nanyi kuwapa taarifa juu ya kuchaguliwa kwenu.Zoezi hilo litafanyika mwezi wa kumi hiyo habari ya nacte kuwaambia masomo yanaanza tarehe 25/9/2017 ni propaganda tu.
 
Source ya infomation yako vinginevyo utakuwa huna ada na unaendelea kuikusanya
Ndugu zangu kuweni wapole vyuo vitawasiliana nanyi kuwapa taarifa juu ya kuchaguliwa kwenu.Zoezi hilo litafanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi hiyo habari ya nacte kuwaambia masomo yanaanza tarehe 25/9/2017 ni propaganda tu.[/QUOTEsource ya information yako
 
Uyu Nae vip Aseeh!! mwishon mwa mwez wa 10 ?? alafu kharifa !!! mungu anakuona ujue unaleta USAMJO sio wakati wa utani ujue hatuna spea za mioyo alaah!!?
 
Source ya infomation yako vinginevyo utakuwa huna ada na unaendelea kuikusanya
for your information mimi nimeshamalizana na hayo mambo kwa sasa nafanya shughuli zangu binafsi.Labda kama ungependa nikulipie ada niko tayari
 
Hamna ukwel hapo kuna jamaa angu amepata joining ya teaching ilonga morogoro unasema kurepoti ni kuanzia tarh 25 sept mwisho trh 20 Oct sasa nashangaaa ww kutuambia hivyo toa evidence tukuamini
 
unataka evidence ya namna gani?
jifunze kuwa na discipline katika uandishi wako itakusaidia katika maisha yako.
Sawa ila sio kwa kusema hivyo maana watu tuna joining za jamaa zetu ambazo zinaonyesha kuwa mwisho kulipoti ni 20 Oct sasa unavyosema joining zinatokq Oct mwisho ni sikuelew yaaaan
 
Sawa ila sio kwa kusema hivyo maana watu tuna joining za jamaa zetu ambazo zinaonyesha kuwa mwisho kulipoti ni 20 Oct sasa unavyosema joining zinatokq Oct mwisho ni sikuelew yaaaan
sasa october ni mwezi wa ngapi?siyo wa kumi? nacte waliwaambia masomo yanaanza tarehe ngapi mwezi wa ngapi?
 
Ata mim apo ndo natatizika kiukweli maana mwanzon kasema mwishoni mwa mwez wa 10 time hii anasema vyuo lazma vianze mwez 10. kharifa kiukweli EQUATION zako hazija balance vzr
 
sasa october ni mwezi wa ngapi?siyo wa kumi? nacte waliwaambia masomo yanaanza tarehe ngapi mwezi wa ngapi?
Aaaaaah ww si umesema mwezi Wa kumi mwishoni ndo joining wakati 20 ni mwisho Wa kufika chuoni mbn hauelewek mkuu
 
Kwel
Ata mim apo ndo natatizika kiukweli maana mwanzon kasema mwishoni mwa mwez wa 10 time hii anasema vyuo lazma vianze mwez 10. kharifa kiukweli EQUATION zako hazija balance vzr
Kwel yaaan anatuzingua tu hamna lq maana hapo
 
Jaman ndugu zangu ukisha chaguliwa Chuo chenyewe ndio kinakutumia na muda wa kufungua na mwsho wa kuripoti mfano Bunda teachers college wanaanza kuripoti 1/10/2017 mwsh 7/10 na tarehe 9/10 wanaanza kusoma kwahyo ww tazama join instruction na sio maneno ya watu Nacte n hapo hawapo tena Asanteni
 
Back
Top Bottom