Na siku samehi wewe si unajifanya mjanja nita ku komesha mpaka utaomba poo ndo utanitambua mi nani
Ha ha ha si umsamehe turn jamani?
Na siku samehi wewe si unajifanya mjanja nita ku komesha mpaka utaomba poo ndo utanitambua mi nani
Ingawa nimebadili id ila leo nimeona niombe radhi kwa mdada wa jf kwa kumkosea kwa kutembea na anti yake na marafiki zake watatu...
Ingawa utaki nipa nafasi ya kunisikiliza kwa kuwa naamini nilikukosea sana tena sana, najua ulinipenda ila nilishindwa mpenzi natamani nitumie siku nzima kukuelezea ila naomba unisamehe mpenzi bado nakupenda ni shetani tu alinipitia..
Reply me back
This is a private business. Hayatuhusu kabisa. Never repeat this kind of communication here. Send private message to her.
Alikupeleka wapi?Hajakufumua marinda kweli maana shetani mbaya!
Khaaaaaaa
Naungana na huyo binti
Hufai hufai.hufai
Utembee na anti yake na marafiki zake 3??????
Watu wa aina yako mtatongoza mpaka wakwe zenu
Binti mwanajf usikubali kumrudia huyu...hafaiiiiii....kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Anyway..chai yako imekolea sukari
Huyo shetani ulienda nae wapi jamani?????????? na shetani akukane siku ya mwisho hapo umesingizia ni tamaa zako tu.
Ha ha JF !! Ni kikomo cha magari mabovu.
Kila la kheri
^^