Hii ni kwa ajili yako

Hii ni kwa ajili yako

SHADOWANGEL

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
528
Reaction score
353
Ingawa nimebadili id ila leo nimeona niombe radhi kwa mdada wa jf kwa kumkosea kwa kutembea na anti yake na marafiki zake watatu.

Ingawa utaki nipa nafasi ya kunisikiliza kwa kuwa naamini nilikukosea sana tena sana, najua ulinipenda ila nilishindwa mpenzi natamani nitumie siku nzima kukuelezea ila naomba unisamehe mpenzi bado nakupenda ni shetani tu alinipitia.


Reply me back
 
We msichana wa JF msamehe mwenzio
 
Ha ha JF !! Ni kikomo cha magari mabovu.
Kila la kheri
^^
 
Mhm Jamii Forum kuna mambo, Aya ni majanga zaidi ya gongo la mboto.. Ila muanga anaweza kuwa lara1 .. theboss anaweza kuwa muamuzi DEMBA ukawa shahidi lara1
 
Last edited by a moderator:
Ingawa nimebadili id ila leo nimeona niombe radhi kwa mdada wa jf kwa kumkosea kwa kutembea na anti yake na marafiki zake watatu...

Ingawa utaki nipa nafasi ya kunisikiliza kwa kuwa naamini nilikukosea sana tena sana, najua ulinipenda ila nilishindwa mpenzi natamani nitumie siku nzima kukuelezea ila naomba unisamehe mpenzi bado nakupenda ni shetani tu alinipitia..


Reply me back
Alikupeleka wapi?Hajakufumua marinda kweli maana shetani mbaya!
 
Alikupeleka wapi?Hajakufumua marinda kweli maana shetani mbaya!

hapo ndipo nimeshangaa mtu akisema amepitiwa na popobawa anamaanisha
na popobawa ni shetani
Maana yake ndio basi tena kupasuka kwa m k ndio kutawanyika kwa shit sasa nenda hospital wakakuwekee hata kipande cha nyama ya kitimoto
 
Huyo shetani ulienda nae wapi jamani?????????? na shetani akukane siku ya mwisho hapo umesingizia ni tamaa zako tu.
 
Nina tindikali mkononi, namtafuta 6!
 
Hahahaaaa jamani nawe umezidi shangazi mtu, marafiki watatu na yeye mwenyewe, sasa c shetan alikupitia cjui mlikua mnaenda wap sasa basi mkirudi na huyo shetani wako my be atakusamehe!
 
Na siku samehi wewe si unajifanya mjanja nita ku komesha mpaka utaomba poo ndo utanitambua mi nani
 
Kwani hamkupeana mawasiliano mengine zaidi ya JF...au unam blackmail...'usiponisamehe nakutaja adharani' ...lol

Naanza kuamini kujuana na watu JF ni risk...
 
Kwani hamkupeana mawasiliano mengine zaidi ya JF...au unam blackmail...'usiponisamehe nakutaja adharani' ...lol

Naanza kuamini kujuana na watu JF ni risk...

Na ni hatari sana mtu akishakufaham anakuja na id nyingine mpya hiyo tabia ya wanaume sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom