Hii ni ishara gani dada zetu?

yaan mkuu huyu nilie kutana nae alianza na 40k
Halafu hao hao unakuta stori zao ni "nataka mwanaume mwenye hofu ya Mungu, anayependa dini" na blaa blaa kibao.

Mkikutana kwenye mitongozo mnaweza kumaliza maongozi bila hata kukuuliza maswala ya dini. Yaani nadra kukuuliza umeanda kanisani/msikitini lini mara ya mwisho

Au kuulizwa kuhusu mahubiri/ mawaidha ya viongozi wa dini.
 
Jiongeze bahari sema unafanya kazi Bank watoto wajae uishi nao maana utakosa kabisa.
 
Halafu sasa nikwambie hiyo sio tabia ya sasa hiyo ni tabia ya enzi na enzi, kijana akitaka kumchumbia binti lazima wazazi waulize nasaba yake, kazi yake na elimu yake, huwezi kukurupuka kumpeleka binti kwa mtu asiyejulikana A wala B,

Kwa sasa sababu mnatongozana wenyewe bado lazima akuulize kazi yako ili ajue ana deal na mtu wa aina gani, kama ni kibaka? Au Marioo?
 
Kwa sababu hiyo, unakubaliana na wanaosema penzi bila pesa halinogi?
 
Ni
Duuuh
Ili ajue jinsi ya kukuchuna vzr
 
Kwa sababu hiyo, unakubaliana na wanaosema penzi bila pesa halinogi?
Naam huo ndio ukweli mchungu,
Kama hupati mahitaji muhimu utawezaje kufurahia mahusiano na maisha kwa ujumla?
Chakula tabu, Malazi shida, Mavazi hamna,
Hiyo ngoma ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…